Recent content by Kamachumu Town

  1. K

    JamiiForums Bandari waomba kupandisha ada, ushuru

    Napendekeza Sumatra wasikubali viwango vipya vya bandari! MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), ambayo imeanzishwa kulingana na sheria ya bandari namba 17 ya mwaka 2004 ambayo pamoja na mambo mengine inaitaja mamlaka hiyo kuwa ndio mmiliki wa bandari zote nchini ikitimiza majukumu yake yakiwemo...
  2. K

    JamiiForums Ripoti vikwazo biashara BEST-AC zagawiwa

    BEST AC Mfanyakazi wa Kampuni ya Nafasi Art Space, Naphca Kuboja, akigawa ripoti ya utafiti wa vikwazo vya biashara hapa nchini kwa wachora katuni, wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuandaliwa na taasisi ya BEST-AC. Picha na Joseph Zablon
  3. K

    JamiiForums Umeme, barabara jinamizi linalokwaza uchumi

    Na Joseph Zablon NI kilometa zaidi ya nane kutoka barabara kuu ya kwenda Kilimanjaro, Arusha na Moshi, lakini jirani na eneo la Msata kuna Kijiji cha Kwadoya ambako lori la mahindi mabichi limekwama kwa siku kadhaa katika tope kutokana na ubovu wa barabara. Jitihada za wanakijiji na wadau...
  4. K

    JamiiForums Serikali ifanyie kazi tafiti za watalaam - Vibindo

    SERIKALI imetakiwa kuzifanyiakazi tafiti mbalimbali za kitalaam ili kuondoavikwazo vya biashara ambavyo vinachangia kwa kiasi kikubwa mfumuko wa bei hivyokuyafanya maisha ya wananchi wa kawaida kuwa magumu. Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti waShirikisho la...
  5. K

    JamiiForums Wachimbaji wadogo waiangukia serikali

    Na Joseph Zablon SERIKALI imetakiwa kuyafanyiakazi mapendekezo yaliyotolewa na wachimbaji wadogo wa madini kupitia Chama cha Wachimba Madini Wanawake (TAWOMA), wakati wa mkutano baina ya wadau hao na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo yaliyofanyika Dodoma hivi karibuni...
Back
Top Bottom