Uwe na japo tone la aibu wewe. Kabisaa umemuona Janeth mtu wa kuweza kuwa mbunge? Udiwani wa kata tu ulimshinda vibaya sana. Acha vichekesho wewe, wenzio akina Mpoki kuchekesha ni ajira wewe unachekesha bure. Janeth hata angekuwa mgombea pekee katika mfumo wa NDIYO au HAPANA asingeshinda.
Kati ya Lowassa na Pombe nani ana skendo nyingi za ufisadi? Lowassa anayo moja tu ambayo uhusika wake ni wa kuungwa ungwa wakati Magufuli anazo 4 ambazo uhusika wake umethibitishwa. Au na wewe upo kwenye pay roll ya Lumumba?
Mwaka huu ch*pi zitawabana sana. Mtakodi machizi wa kila aina na mtajishaua na kila aina ya propaganda lakini UKAWA IPO PALE PALE, nginja nginja mpaka Magogoni.
Kutokuweka maelezo mafupi ndio ulofa? Mbumbumbu wewe. Umbumbumbu, ujinga, upumbavu, ulofa, ubwege ulio nao ni matunda ya kutawaliwa na CCM. [Najua sana sana una uwezo wa kubadili mboga halafu umemudu kununua hicho ki-TECNO unachotumia kupost taka mwili zako humu basi ushakuwa kero unajiona una...
Dk Slaa ambaye naye umemuita icon ya taifa alikurupuka, akamshambulia na kumkejeli Gwajima hadharani. Mbona humuongelei? Wewe umenuona Gwajima wengine huoni???
Zitto anauwezo Mkubwa sana kichwani na ndio maana wabunge wengne hasa Wa upinzani humuonea wivu na kumuona kama vile anamajivuno,hata darasani Mara nyingi wale wanafunzi mambumbumbu wanakuwa na wivu kwa yule anayeshika namba moja,ktk hali ya kawaida huwezi kufananisha uwezo Wa kafulila kwa MTU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.