Recent content by KALYABUNUNU

  1. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania BUWASA Bukoba kuna jipu tusaidie kulitumbua

    Tumelipia gharama ya kufungiwa maji toka mwezi uliopita tukaambiwa tutafungiwa huduma ya maji baada ya wiki mbili. Mpaka sasa mwezi unakaribia kuisha. Ukienda kufatilia wengine wanatoa majibu ya ovyo, wengine wanadai vifaa vinapangwa, wakati mwingine wanasema hawana mita. Tuamini lipi. Punguzeni...
  2. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Hatima ya CHADEMA Bukoba iko Mikononi mwa Lwakatare na Conchester, Vinginevyo CCM Itapeta tu

    CHADEMA tafuta mgombea mpya kabisa, hawa wote hawana jipya mbele ya wananchi wa Bukoba. Kiujumla jimbo halina mgombea na mkizembea CCM wanabeba tena kwa sababu Bukoba hatuchagui chama ila Tunachagua mtu
  3. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Kinana apata aibu Bukoba mjini baada ya CCM kukataliwa na wana Bukoba

    Huwezi kupanga ziara bila hoja. Huu ni uharibifu wa kodi ya watanzania. Chama tawala kinakosa hata kueleza utekelezaji wa ILANI zake?
  4. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Kinana apata aibu Bukoba mjini baada ya CCM kukataliwa na wana Bukoba

    Ziara ya KINANA na NAPE mjini Bukoba tulidhani wanakuja kutuelezea namna ya upatikanaji wa meli mpya tuliyoahidiwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010. Walichokisema nikianza na NAPE, "... mtoto wenu LWAKATARE anafadhiri kikosi cha vijana wanaojifunza ugaidi". Kwa hili si hitaji la wanabukoba...
  5. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kung'aa Bukoba Mjini

  6. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kung'aa Bukoba Mjini

    wabuyaga;7774598]Mkuu Kalyabununu vipi hali Bukoba kwa ujumla? Je bwana Lwakatare ameishaanza shughuli au vipi? Bado ila watu wanaiamini sana chadema.
  7. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kung'aa Bukoba Mjini

    M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome
  8. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania JK aagiza Kagasheki, Meya wa Bukoba wamalize mgogoro

    Rais wetu ana mzaa mwingi, meya na mbunge hawaelewani kabisa, yaani mgogoro walionao ni zaid ya maji na mafuta hata wananch wengine wameenda mbali zaid wakauhusisha na udini, bas kama majib ya rais yako hivyo itatokea vita zaid ya ile ya idd Amin
  9. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kwa mbinu hii ya Bukoba, JK anatisha

  10. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Chama ulichomo ndugu kinavuja na hakina sera ndo maana unatumia matusi ili watu wakuelewe
  11. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kwa mbinu hii ya Bukoba, JK anatisha

    Kila wilaya za mkoa wa KAGERA alikoenda JK, wakurugenzi wa wilaya waliwarazimisha wakuu wa shule kufunga shule na wanafunz wote waende kumpokea rais, shule zote zinafungwa saa nne asubuh. Hivyo wanafunzi ndio wanaohudhuria na baadh ya wafuasi wa ccm
  12. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Kikwete aota mbawa Bukoba! Wanafunzi waondoka kaitaba wamenuna na kuapa kutohudhuria tena

    Kwanini utumie matusi kujibu hoja, ili halimhitaji msemaji wa mkurugenzi
  13. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Kikwete aota mbawa Bukoba! Wanafunzi waondoka kaitaba wamenuna na kuapa kutohudhuria tena

    Hata walimu walitumiwa taarifa na mkurugenzi kuwa rocoo itaitwa kaitaba kwa watakaokaidi amri hatua zitachukuliwa dhidi yao ndo maana walimu wameruhusu wanafunz tu na wachach ambao nafikri vyet sio vyao ndo walienda
  14. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    Mleta mada ni muongo, wahitimu wa kwanza kutoka ktk shule za kata ndio wamemaliza kidato cha sita na bado hawajajiunga na chuo kikuu chochote kile,
  15. KALYABUNUNU

    JamiiForums Tanzania CCM Bukoba yapasuka vipande vipande,viongozi wajiudhuru!

    Hizo ni laana za kuchakachua kura za RWAKATARE mwaka 2005, eti HAMIS alishinda kwa tofauti y kura 100 kutoka KATA YA BUHEMBE. Sasa watusaidie hata kumtaja aliyechakachua hizo kura za CUF na kuipa NYINYIEMU ushindi.
Back
Top Bottom