Recent content by Kalunguine

  1. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    bora nicheke zangu
  2. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Mjifunze kuwa wakweli,acheni mambo ya hisia hasi
  3. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amtahadharisha Tundu Lissu na gia za angani!

    Walioanza kumnyea toka pale Mwembe yanga NA wakamuweka katika list of shame na baadae wakamchukua ni akina nani?
  4. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Kuna Kiongozi mkubwa alienda magereza usiku kuhakikisha Rugemalira anahudumiwa kama wafungwa wengine

    Mleta mada hujielewi,Rugemalira sio mfungwa
  5. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Meya Jiji la Arusha ni Kalist Lazaro, Naibu Viola Likindikoki

    GetPayMonthly.xyz - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  6. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni kweli au utapeli

    GetPayMonthly.xyz - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  7. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania HALI TETE CHADEMA: Ofisi sasa yageuzwa duka

    mbeya vijijini hapo karibu na kwa sugu,kweli magufuli noumaa
  8. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Imani niliyonayo kwa Magufuli, itakwisha atakapomteua Ridhiwani Kikwete

    nilidhani una sabbu za msingi,lakini kinachoonekana ni chuki na roho mbaya tu brother,baba wa RIDHIWANI kuwa Rais wa Tanzania haiwezi kuwa sifa ya Ridhiwani kupoteza haki yake ya kutumikia watnzania,jaribuni kufikir na nje ya box pia,wamarekani wangekuwa na akili mbaya kama ya kwako leo mke wa...
  9. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo, aibu hii haitasahaulika kamwe

    mbowe alizunguka na chopa akapata kura laki 6. wakati huo chama chake kikiwa na zaidi ya miaka 12! ACT WAZALENDO wamezunguka kwa magari wamepata kura ambazo hazijafika laki moja na chama kikiwa na zaidi ya mwaka 1. wamevuna mbunge mmoja na madiwani 52 nchi nzima ni hatua kubwa sana kisiasa...
  10. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    dalili au tayari iko chini ya ACT wazalendo?
  11. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    hahahaaaaa! halmashauri ya kigoma iko chini ya ACT wazalendo , KC mwami Zitto Kabwe kaonyesha yeye mbabe wa siasa za kigoma,kawachapa vibaya
  12. Kalunguine

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    sijui kama hapa zitakuwa ndo zenyewe ila naona kuna clouds tv and tmtv Tanzania TV Stations - Watch Online
Back
Top Bottom