Recent content by kalooo 25594

  1. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Si kile kinachoandikwa tu,bali maisha yenyewe ya mtu ndo maandiko ya kweli. Na Kalooist atakapoanza kuhoji huo ndo mwanga na uhuru wa kweli

    Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
  2. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Kalooist sikia, macho kodo eti isi wanatupenda ama wana ushamba na sisi,Bali Picha zao kote zinamalizia na ""Wasalamu ni wako katika Mateso"",Kumbuka

    Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi. Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu! Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism naona linapotoshwa ama linawekwa mahala ambapo siyo pake. Tunapotembelea ndugu rafiki na jamaa zetu...
  3. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

    Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii. Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko vijijini ambako kipato,elimu na afya kama huduma ni kidogo ukilinganisha na mjini mara nyingi watu...
  4. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Kalooism, Africa inahitaji demokrasia ya kijamii ili isijichetue baada ya demokrasia ya vyama vingi kwa mtazamo huo?

    Ndugu wanajukwaa karibu katika  Kalooism na mtazamo wa Afrika ijayo. Utangulizi, Waraka wa Amani  Kwa Taifa ni kuyafungua yaliyokuwa yamefichwa toka tumboni mwa mzazi na alichokizaa Bahati Bukuku (siku ya msiba usiku wa matanga).Na hakika maneno yana safari ndefu(etymological...
  5. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Katika Muktadha wa michezo Tanzania na Afrika kwa ujumla Kauli ya Hatuchezi ng'oo haimanishi tu kutoingia uwanjani

    Katiba ya soko la Kariakoo ndo sheria nzuri kwa michezo ya ndani.
  6. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Katika Muktadha wa michezo Tanzania na Afrika kwa ujumla Kauli ya Hatuchezi ng'oo haimanishi tu kutoingia uwanjani

    Kwani Kampeni za uchaguzi chini ya Tume waga zinazuia Ligi za ndani au fujo?
  7. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Katika Muktadha wa michezo Tanzania na Afrika kwa ujumla Kauli ya Hatuchezi ng'oo haimanishi tu kutoingia uwanjani

    Si kweli kuona Simon Msuva,Mbwana Samata ndo vipaji vya muda wote Tz.
  8. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Katika Muktadha wa michezo Tanzania na Afrika kwa ujumla Kauli ya Hatuchezi ng'oo haimanishi tu kutoingia uwanjani

    Wadau karibuni katika uwanja wa Michezo. Kwanza naomba kuchukua Dakika 1 kukiri masikitiko makubwa niliyonayo kwa kuondokewa na nguli wa fasihi za Pan-Africanism(something torn and new African renaissance) hivi leo ndugu na jamaa yetu Ngungi wa Thiong'o katika Afrika Moja(Night mystic...
  9. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  10. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Hata hatutemi dagaa!!Tutaitaje maji mma kama historia inakiri wazi mabadiliko ni suala la asili ya maumbile?Tukishindwa sisi watafanya wanetu,wakishindwa hao watakuja wajukuu. Mfano Mirengo hii ilivyokuwa; Ukabaila >Ubepari>ubeberu au ujima>ujamaa>ukomunisti ama katika nyanja za mifumo ya fikra...
  11. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndo maana tunawaasa viongozi ngazi ya juu Waone namna bora ya kuwa na mfumo shirikishi wa wadau wote katika mwenendo unaozingatia usawa katika kazi,si upendeleo ila hizo data ziwe zinajijaza automatic kwenye mfumo,kama ni wizara iwe na taarifa rasmi za kazi(mbona kile kisima kilichopotea...
  12. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Katiba si sheria mama?, Kwa kuzaliwa tu Tz ni tayari umeshatii kuwa uko under Jamhuri(utawajibika kama raia na haki zote kwa Jamhuri(mfumo wa nchi) unaotambulika kikatiba sheria na Kanuni ambaye mwajiriwa no.1 Mkuu wa nchi anaulinda usipotee siyo kwa gharama yeyote ila Kwa Katiba,Sheria,kanuni...
  13. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Duh kila mtu aelewe?Hilo gumu na kama kuna utulivu wa hivo basi tusingeambiwa ukifa ndo unaiona pepo na wengine tusingekuwa tunaenda kuungana na wenzetu na kushangilia kutolewa mapepo,Tunashangilia tusiyoyajua kwa sababu hatuna utulivu wa hivo.
  14. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Oky ni sawa,Kwani una kawaida ya kuelewa papo kwa papo?Ukiwa hivo ujaliwe Hekima kwanza,Kama una hasira kwa dunia iliyokengeuka wewe ndo utakuwa namba moja mgengemfu,Ukiwa unachelewa kuelewa na utachelewa kusahau ukielewa.Jambo ukilielewa ndo limefika wakati wake(wewe save kwanza,kuwa na kifua).
Back
Top Bottom