Recent content by kalonga rajabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    siwezi sikiliza kipindi ambacho mzungumzaji alishajipambanua upande wake. nivema chanel ten wawe wanatafuta watu wenye mawazo/fikira huru katika kutowa mada sio mtu mwenye mlengo unao fahamika. ama wapambanishe watu wenye mlengo tofauti hapo balancing yaweza kuwa nzuri.
  2. K

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mie pia nimeshindwa kumuelewa kabisa mheshimiwa mkapa kwanini katumia neno kali kama hili.
  3. K

    JamiiForums Tanzania ITV bakizeni akiba ya ushabiki

    Tbc hata kipindi cha magazeti hasubuhi wanapotosha.
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejipiga chenga wenyewe jimbo la Sikonge Kwa kumteua Said Nkumba

    Said nkumba anakubalika sana sikonge lengo ni ushindi
  5. K

    JamiiForums Tanzania lipumba alikimbia mgawanyo wa majimbo?

    Acha uchonganishi mboba cuf tabora imepatiwa majimbo takiribani matano
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM mlitumia vigezo gani kuwakata?

    Inasikitisha sana lakini ndo mamuzi yalishafanyika
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Itv ilionyesha mafuriko ya arusha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

    Hoja zingine bwana napita tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    HP nilizani nimchambuzi huru kumbe naye anaupande! Hivi anataka kuaminisha watu ukituhumiwa tu huna haki ya kupewa nafasi kama ni hivyo basi hatuna wagombea wasio na tuhuma kwani kila mmoja anatuhumiwa lakini hakuna justification ya tuhuma zao.
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    Ama kweli ukawa wanaumiza sana watu
Back
Top Bottom