Nakubaliana kabisa na wewe. Adhabu zinazotolewa na Walimu ktk shule hii haziendani na kosa.
Jumamosi iliyopita kuna wanafunzi walikutwa bwenini; muda ambao walitakiwa kuwa darasani kujisomea (saa 10 alfajiri hadi saa 5 asubuhi). Adhabu waliyopewa ni kufukuzwa shule. Mbaya zaidi wamefukuzwa bila...
To my understabding; there are delegatable and non delegetable duties. Mkutano ni wa "Wakuu Wa Nchi". Hili nalo ni la kudelegate!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said Kiongozi!
Issue ya kuzima mwenge na utaratibu wake vinajulikana. Ingekuwa busara kama zuio hili lingetoka kabla maandalizi hayajaanza. Leo hii kuna viongozi toka mikoa ya mbali walishaanza safari!
Na kwanini wafanyabiashara wagome kuimport eti kuisubortage serikali!? To me kazi mojawapo ya serikari ni kuwajengea mazingira mazuri wafanyabiashara ili waendelee kuisaidia serikali kwa kulipa kodi na kutoa ajira. Na hii inawezekana si kwa kuwekeana bifu. Kama ni kweli wafanyabiashara...
Yaani ni sheedah!
Nadhani hapa ndo tutaanzia kuwapima wawakilishi wetu. Kama muswada wa sheria ya matumizi waliupisha wao kwa kura, iweje rais autengue bila baraka yao hata kama naye ni sehemu ya bunge!??
Wataalam wa Physics watanisahihisha. Ninachojua ni kuwa kinachofanya kitu kurudi chini baada ya kurushwa juu ni gravitational force. Na hii force inafanya kazi ndani ya kilomitaa kadhaa kwenda juu. Baada ya hapo, kuna layer angani ambayo hii force haifanyi kazi. Kwa hiyo kitu kikivuka layer...
Ushabiki wa kijinga ndio unatumaliza nchi hii. Sidhani kama unachangia kwa kuiface issue kama ilivyo! Ni mhemko wa kishabiki ndo umefanya uchangie hivi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.