halafu nilikuwa naomba kama mtaniruhusu kusema kuwa ZITTO HAKUJIZULU ila AMEFUKUZWA au AMEJIFUKUZISHA CHADEMA...
LOWASSA si WAZIRI MKUU MSTAAFU ila NI WAZIRI MKUU ALIYESTAAFISHWA...wakati ninasoma KISWAHILI...20+yrs ago walikuwa wanatufundisha KUTENDA na KUTENDEWA...do you know the difference...
Mr.Kilaza...
unajua tofauti kati ya KANUNI na SHERIA????
just to provide an extra-orbital parabola ...NCHI INAENDESHWA KWA SHERIA ..... lakini...lakini BUNGE LINAENDESHWA ...linaendeshwa kwa....kwa...KANUNI...ambazo in any case hazipaswi kupingana na SHERIA ya uendeshaji wa nchi...yaani...
Tibaijuka...sitokuita Prof. kwasababu hauna hadhi ya kuitwa Prof BTW sina uhakika kuhusu tofauti yako na Prof Maji Marefu... the tunguli boy a.k.a witchdoctor!!! Waitaliano wanapotaka kudiscribe situatiaon yako huwa wana msemo kuwa la toppa è peggio del buco!!! ukitafsiri kwa kiswahili ni...
Wakati ninasoma katika low schools na wakati huo internet haikuwa public domain.. watu walikuwa wanaogopa kuchaguliwa kuwa VIONGOZi maana uongozi ulimaanisha kuwatumikia watu na mara nyingi wenye sifa walikuwa wanajihisi hawana sifa za kutosha au walikuwa wanaona hawastahili heshima kubwa kama...
JE NI KWELI NA WEWE NI MUATHIRIKA WA VIRUSI VYA UKIMWI KAMA KAPUYA???
Je ni kweli na wewe ni mbakaji au ulivipata baada ya kubakwa??
waeleze wanaCCM ukweli.
kweli duniani kuna mambo...
hata malecela jr naye amekuwa ni political analyst? ninahakika wanaompa kichwa ni wale wanaoendeleza malumbamo naye..huwezi kubishana na mtu ambaye hana uwezo hata wa kuosha makalio yake baada ya kujisaidia!!!
Mnababaika na hiyo surname yake au nini...maana...
mimi naomba kutumia fursa hii kumuomba Kikwete( for the first time I've written his name starting with a capital letter due to the solemnity of the moment!!!) kabla ya kudeal na kapuya (what a dumb of Prof!!) aanze kumfukuza kazi mara moja RPC wa Dar muhuni(sio ndugu) kova aliyewaeleza...
Sitta ni mnafiki sana... kama anajua hata hiyo budget basi anawajua hata hao wahusika kwa undani, sasa swali langu ni KWA NINI HASIWATAJE KWA MAJINA NA UBINI WAO, je anawaogopa?? kama ni ndiyo, ni aina gani ya ujumbe mnataka kuwapatia Watanzania kama WAZIRI anaogopa kuwataja WAHARIFU?? Hizi...
malecela jr... unazidi kuthibitisha ujinga wako... sasa umeandika nini maana ninashindwa hata namna ya kuanza kukupambanua cause I'm not used to fire on the red cross... huwa unayoandika ninayasoma lakiini siyajadili maana nina amini kuwa huwa hakuna cha kujadili kutokana na wepesi wa akili zako...
mwili wangu unachemka kwa hasira na kwa kweli sina la kuongeza...nashukuru kwamba kuna watu wenye akili kama wewe na waliona hilo!!
siongei zaidi ngoja nisome maoni ya watu mbali mbali na ninatafuta namba ya kova nitamuita na nitamrushia makomora mpaka atasema hiki nini...ninamuogopa Mungu tu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.