Recent content by Kalleya

  1. Kalleya

    nisaidieni jamani shida ni nini?

    ni mwaka wa 6 sasa mimi na mke wangu hatujamtafuta mtoto mwingine na hatujatumia njia yoyote ile ya uzazi wa mpango. sasa tumbo linamuuma sana tu kama wiki sasa (hii ni baada ya kuanza harakati za kutafuta mtoto mwingine) inakuwaje tumbo kuuma?
  2. Kalleya

    Leo nimepiga kamoja tu niko chalii

    Write your reply...kula miti shamba, kuimarisha afya zaidi
  3. Kalleya

    Ulianza kufanya mapenz ukiwa Na miaka mingapi?

    mwaka 2011 ndio mara yangu ya kwanza na ndio kawa mke rasmi
  4. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    ok, yaliyoya kaisary tumpe
  5. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    hebu elekeza unajumlishaje upate hiyo namba
  6. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    ahsante kwa ufafanuzi
  7. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    ohoo! tutakwisha kama ni kweli mkuu.
  8. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    nzuri, nimekupata
  9. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    sasa mbona kama zina fanana kuwa na mistari hiyo?
  10. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    kama zile zilizopo kwenye vitabu ina mistari mingi mweusi na namba. picha inanigomea kupost
  11. Kalleya

    Naomba kujua maana ya nembo hii

    Naomba kujua nini maana ya nembo hii kwenye bidhaa mbalimbali?
  12. Kalleya

    nauliza

    ahahahahahah du! hii noma sasa
  13. Kalleya

    nauliza

    ni ufanisi umepungua kazi haifanyiki ipasavyo
  14. Kalleya

    nauliza

    wengine watanisaidia sio mpaka wewe....
Back
Top Bottom