Recent content by Kallenge Nelson

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    Huu uonevu utaisha lini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Na huo ndio ukweli au nasema uongo jamani.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kutrack simu kwa imei namba

    Duuhh!!! Hatari Sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Ni app ambayo unatumia for free
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Watu mna mawazo ya ovyo,kwaio Kama baba yako Yuko vzr kwasababu zako binafsi unamindua!!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

    Angalia usije kuwa mzinifu😂😂😂😂🤣
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Nishakuelewa unacho zungumzia lakini hoja yangu ni kwamba hatuna haja ya kumlaumu Mungu. Issue ya msingi hapa lazima tujue dunia haitakaa itulie. Lakini tukitoka kwenye Mambo ya siasa solution nipaka Yesu anakuja. Maana mgombanishi ni shetwani na Yuko duniani.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Auae kwa upanga vivyo hivyo atauwawa kwa upanga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Huwezi kumlaumu muumba. Kwasababu akili, utashi tulopewa unakazi gani?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Mimi nawapongeza watz. Walivyo mkataa lissu kuingia barabarani maana ambacho kingefuata nikama kwa Gadaffi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Kwakupata ushauli wa mabeberu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Am mkuu Kuna watu wanaitafri haki vibaya. Nimeona mburula moja humu eti Gadaffi kuwasaidia vile wananchi wake vile eti alikua anawahonga ili afanye yake. Kwaio saizi ndio wanapata haki?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Huo ni ushabiki wa siasa na tamaa ya madalaka. Kwaio wlipo hitaji mabadiliko matokeo yake hawajayaona?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabu wanayopata wa Libya sasa hivi, wazungu siyo watu

    Mkuu haya ndio madhara ya kushabikia siasa bila kumuelewa. Hivi saizi wanatafuta hadi kaburi la Gadaf wakaombe msamaha hawalioni. Japo family yake haiwezekani. Watasubili Sana, mpaka kiama.
Back
Top Bottom