Wadau salamu,
natafuta chaja na mp3 player kwa ajili ya kutumia kwenye gari,nimekuwa nanunua hizi za barabarani zinakufa baada ya week tu.
Mwenye kujua duka au anaeuza tafadhali nijulishe.,
Wadau salamu, natafuta chaja na mp3 player kw ajili ya kutumia kwenye gari,nimekuwa nanunua hizi za barabarani zinakufa baada ya week tu. Mwenye kujua duka au anaeuza tafadhali nijulishe.,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.