Kumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani, sasa washindwe na walegee kabisa hawa sisi wananchi tumeshachoshwa......
Unajua zitto zuberi ye anazani upinzani ni kupinga kila lifanywalo na uwongozi wa chama tawala,, kiukweli suara la msamaha ni busara na hekima sana ambayo hufundishwa na imani za dini zote,,,,, sasa zito anapinga mbusara ya mh magufuri kutoa msamaha kwa babu seya na mwanaye papikocha, hivi...
Eet, inasemekana maamuzi ya rais kumtoa babu seya kavunja katiba ya nchi kwasababu babu seya alikuwa kasha thibitishwa na mahakama kama ni anaatia, so nini maoni yako??
Mh magufuri anastahili hongera katika hilo lakini yote kwa yote, mh lowasa ndo kiini cha yote hayo kwasababu yeye ndo aliiweka hiyo kama irani ya compain hivyo bado kunaumuhimu wa uwopo wake na umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa jina la lowasa. Mshangae yeyote ambaye anasema EET, kama magufuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.