Recent content by Kalimah56

  1. K

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Ukweli ni kuwa Viongozi wote wa Tanzania kuanzia Rais, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Vyombo vya dola na Usalama, Viongozi waandamizi wa taasisi za ummma na za binafsi HAWANA UTASHI WA KUINUA KIPATO CHA NCHI BALI CHAO. Inalipa sana Tanzania kuwa Mwanasiasa kuliko kuwa na Shahada ya PhD Tanzania...
  2. K

    East African Federation (EAF) public Views

    Brothers & Sisters kuna faida na hasara za kuwepo kwa Shirikisho, kinachotakiwa kufanywa ni kuhakikisha kila nchi inapunguza hasara na kuongeza faida bila kuathiri fursa ya nchi mwanachama. Hatuwezi hata kwa vigezo vya kiuchumi kizifanya nchi hizi zikawa sawa kimaendeleo, wanazuoni...
  3. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Mimi sitaki kuwa upande wowote, nafahamu MU imepewa hadhi ya kuwa Chuo Kikuu, pengine ni muhimu kufahamu timu iliyokaa na kupendekeza na chombo kilichoridhia juu ya hatua hiyo. Kwa upande wa wanataaluma wa MU, nilipata habari kuwa hata HEAC walikuwa na mashaka na baadhi yao na kwa bahati mbaya...
  4. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya unatia aibu kuwa ulikuwa hujui kuwa kulikuwa na malengo ya upimaji viwanja kwa fedha toka serikali kuu, hii ni aibu kwako na viongozi wote wa mkoa wa Mbeya . Kwa taarifa yako Halmashauri ya Jiji la Mbeya ni ya pili nyuma ya Kinondoni kwa utapeli wa viwanja Tanzania. Watu...
  5. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Hivi Mheshimiwa Andrew Chenge, huyo CEO wa Tanroads aliyemaliza muda wake ametimiza malengo aliyopewa alipoomba kazi? Usianze visingizio kuwa wewe wakati huo hukuwepo, maana ndiyo cheap excuses mnazotoa wanasiasa. Ukishindwa kujibu swali hili rudi Bariadi ukalime kwani si umepata Ubunge na...
  6. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Wizara ya Fedha mnasubiri tasnifu ipi ili Chuo Cha Usimamizi wa Fedha kuw Chuo Kikuu ? je ni suala la hoja au hoji mbona IDM, Nyegezi na Chuo Cha Ushirika wamevuka hatua hiyo haraka sana. Leo Kuna vyuo Vikuu ambavyo ukivilinganisha na IFM kama umri wa chuo ni hoja basi hata visingestahili kuwa...
  7. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Wakati wote wa Utekelezaji wa Mkataba wa IPTL - JK alikuwa pale Wizarani yaani Nishati, wakati huo Patrick Rutabanzibwa wala hakuwa Katibu Mkuu bali Afisa Mwandamizi, kwa bahati njema wote wapo mbona hawazungumzi kwa uwazi kulikuwa na makosa gani kwenye mkataba ule na NCHI ilijilinda vipi...
  8. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Naomba kuuliza hivi Benki Kuu na hasa Idara ya Usimamizi wa Mabenki- Bank Supervision kama wanafanya kazi yao kwa umakini wa kweli ama nao ( pamoja na mishahara minono na marupurupu) yote wameamua kula mezani kwao, mabenki ya kigeni yanawanyonya sana wafanyakazi wazalendo na mbaya kuliko...
  9. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Matatizo ya sekta ya elimu hayapaswi kutazamwa mahali fulani peke yake, mfumo mzima umeharibika kabisa ni kama vile watu wameacha kufikiri na pia sasa ni vipofu, na pia hawajali kabisa kwani watoto wao hawaguswi kabisa na tatizo lililopo kuanzia Shule ya awali hadi Chuo Kikuu , na mbaya kuliko...
Back
Top Bottom