Recent content by kalikenya

  1. K

    Mwigamba: Kukamatwa kumenipa mafanikio ma3, siogopi jela

    Nimekua nikitoa machozi kila mstali niliousoma hivi Tanzania tumefikia hapo. Mwigamba Tanzania wanaofanya kazi ni waandishi wa habaritu na Mungu analijua Atakupiogania na utashinda tu serikari dhalimu haidumu hata
  2. K

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    aha wapi atakua si mtu makini afukuzwe saa tano usiku asubuhi amepata chama, amefikiri saa ngapi na nini kilimtoa chadema. Sasa atakua anatapatapa anahitaji muda Asubili CUf wamtose Hamadi kasema ataunda chama aende huko Peoples Power si wakuwachezea hawawezi kukubali kirahisi hivyo.
Back
Top Bottom