Recent content by kalikawe1982

  1. K

    Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

    Najihisi kuropoka nikishakunywa Windhoek[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Maana ile dollar 1000 ilitakiwa itumwe Bukoba kumalizia ujenzi wa kibanda chetu...
  2. K

    Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

    Hongera kwa Kazi Hongera kwa ujasiri Huyo Jamaa kama namjua vile....Najihisi nitamwambia...Nikishakunywa Windhoek Baridi.
  3. K

    Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

    A Magazijuto...460+(0.8*460*3)= 1564
  4. K

    Jukwaa la Wahariri wakalishwa Bagamoyo na Rugemalila, wahongwa 600,000 kila mmoja

    Kuna kitu hakipo sawa hapa, VIP haikuletwa ilikuwa kampuni tanzu miongoni mwa makampuni ya Tanzania...labda kama kuna VIP Engineering nyingine.....
  5. K

    Jukwaa la Wahariri wakalishwa Bagamoyo na Rugemalila, wahongwa 600,000 kila mmoja

    kwa tunaojua what is behind Escrow Saga tunaelewa vizuri ulichokiandika...well said.
  6. K

    Jukwaa la Wahariri wakalishwa Bagamoyo na Rugemalila, wahongwa 600,000 kila mmoja

    Tuhuma tu, tena tuhuma Tanzania, Huyu anayetuhumu naye anatuhumiwa, Hata nyerere angekuwepo hawa watu wanatuhumu watu wangeombwa ushahidi...... Taja tuhuma moja ambayo imethibitika kweli kama cyo kujipatia umaarufu wa kisiasa na wivu wakitoto...watanzania tumekuwa wepesi wa kutuhumu....hata...
  7. K

    Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

    Pole sana kwa hili lililokupata, ni mitihani katika maisha. Mimi napenda nikushauli mambo yafuatayo 1. Maamuzi ya Maisha yako unayo wewe. 2.Umekuwa katika mahusiano kwa miaka minne hajakuambia, hii inakufundisha Mambo makubwa mawili a) Mpenzi wako anakupenda sana hivyo alihisi angekuambia...
  8. K

    Pengo: Situmiki na CCM

    Collective Responsibility is not always collective agreement.... Mfumo wa chama kimoja... Mchakato wa katiba... Kung'atuka kwa mwalimu Mchakato wa Bima ya afya-USA Fanya reference kisha njoo na collective responsibility yako ambayo huwa haipo isipokuwa kwenye vitabu.
  9. K

    Pengo: Situmiki na CCM

    Cardinal Pengo, Kuna watu wanajua imani yako, wanajua uadilifu wako na wanafahamu vizuri kwamba kazi yako unayoifanya haitangamani na upande wowote..... Najua vizuri wanaokusakama hawana jambo jipya zaidi ya kusukumwa na hisia binafsi hata bila kuangalia uzito wa Yale uyasemayo...
  10. K

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    That is the truth the people don't want to keep their eyes on.... Collective responsibility is not always collective agreement.....very perfect.... Eti kikundi cha watu kikikosea na mimi nifiche akili na utashi wangu kwa maslahi mapana ya taifa nikae kwenye mwamvuli wa collective...
  11. K

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    Collective responsibility peleka kwenye chama na Serikali, Siyo kanisani......Sheria ipi katika kanisa kunakoonekana collective responsibility unayoitaka? Acha kuchanganya dini na siasa....kwenye siasa ndo kuna mambo ya samaki moja akioza wote wanaoza, Kanisani hakuna hicho, Kuna individual...
Back
Top Bottom