Recent content by Kalika

  1. Kalika

    Ndesamburo: CHADEMA ni sawa na Mti wenye Matunda...

    Hajaweka wazi majina yao
  2. Kalika

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Kupigapiga si kujenga chama
  3. Kalika

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Ishu hapo si kufanya kazi kwa mengi usiwe mbinafsi kiasi ambacho unatupotosha shida hapo ni takwimu za uongo za Anaejiita Prof mwanasayansi tangu anaumbwa hiyo ndo sayansi gani Kama Watu watatu wanamiliki eneo lenye ukubwa wa dar 3 na Yule wakwanza kwa hesabu nyepesi ni Dar 10 na wapili Dar 7...
  4. Kalika

    Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Prof Muhongo kadanganya Umma wa tanzania na dunia kwa kusema yeye ni mtu wa facts and figure wakati figure alizozitoa ni uongo mkubwa Sana tunamuuliza ikiwa mengi Ana eneo la ukubwa wa Dar tatu kwakuwa na Yule wa kwanza na wa pili ni Dar ngapi Kama si 10 na wa pili Dar 7 jumla ni dar 20 kwa Watu...
  5. Kalika

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Nadhani Kama una milioni moja unaweza anza viatu na Hizo Nguo kwa Nairobi kuna viatu vya mtumba bei ya chini pale Gikombaa unaeza elekezwa namna ya kupata mzigo kwa singida kuna gari la moja kwa moja Hadi Nairobi kupitia Arusha.
  6. Kalika

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Suala hapa si kujitoa lazima tuelewe katiba ya cdm vizuri na lazima democrasia itawale kuliko ushabiki ambao hautasaidia sana kuleta mapinduzi ya kifikra.jamani wanajamii forum wengi wanahoja nzuri Sana tatizo tutapoweka ushabiki wa ukanda ukabila na udini Chadema itakufa siku si nyingi naamini...
  7. Kalika

    Dk. Kitila Mkumbo, Kwanini watu makini wasianzishe chama chao?

    Hilo nalo wazo zuri Lakini cdm itaathirika kwa kiasi kikubwa Sana ikiwa Akina zitto na wenzake watatotoka la sivo busara itumike katika mamuzi
Back
Top Bottom