Recent content by kali KENYATTA

  1. kali KENYATTA

    Fahamu hatari za watumishi wa Umma kukimbilia Ubunge

    Na Markus Mpangala, Kuporomoka hadhi ya utumishi wa umma, kazi za kitaaluma kutothaminiwa, maslahi hafifu, hofu ya kutumbuliwa, usalama mdogo wa kazi, mazingira magumu ya siasa na kuwa njia rahisi ya kupata mafanikio, kutoa michango kupitia siasa, uhaba wa mifumo ya taasisi huru, kutafuta fursa...
  2. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Nabashiri matokeo kuwa hivi: 1. Magufuli 90% 2. Mgombea CDM 09% 3. Vyama vingine 01%
  3. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Umenena sawa sawa. Kilio cha TUME HURU YA UCHAGUZI kiendane na uwekezaji wa chama kwa Wapiga kura.
  4. kali KENYATTA

    Nimeamini sasa if free and fair election is on the ground, CHADEMA will shine!

    Sir, you are RETIRED AND TIRED. Hata maabdishi yako yamestafu na kuchoka.
  5. kali KENYATTA

    CCM Wilayani Tunduma “dhooful hali”

    Hizi picha sio uthibitisho wa uhai. Vipi kama watu wamekuja kukuaga baada ya kufa? Kwani marehemu anaweza kupanga ni idadi gani ya watu waje kuaga?
  6. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Tupo pamoja sana.
  7. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Upo sahihi kabisa ndugu yangu.
  8. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Umenena vyema.
  9. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Anasema yeye ndiye mnogesha uchaguzi. Anakuja kuchukua nafasi ya u-MC.
  10. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    [emoji38][emoji38][emoji38]
  11. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    Good tactical advice. Ingawa ukweli ni mchungu.
  12. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    [emoji38][emoji38][emoji38]
  13. kali KENYATTA

    Hesabu za Membe hazipo sawa sawa

    [emoji38][emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom