Recent content by KALASHNIKOV

  1. K

    Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

    Lowassa anahukumiwa na Historia ya kutokuwa na Mahusiano mazuri na Familia ya Mwalimu Nyerere. Lowassa hajawahi kufika Butiama Tangu Mwalimu afariki. Lowassa hakuhudhuria Msiba wa Baba wa Taifa. Ni Mgombea pekee wa Urais ambaye hajui kaburi la Baba wa Taifa liko wapi. Inasemekana...
  2. K

    Lowassa, si usaidie na masikini

    Pesa za Mafisadi kwa chama cha Mafisadi.
  3. K

    Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    Mbona umekuwa mkali sana wewe ni mjumbe wa NEC uliyesafirishwa na Lowasa? Habari ya simiyu ngosha, usisahau kununua godoro na Baskeli. Ukirudi msalimie Nyoka wa Makengeza mla rushwa.
  4. K

    Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    Unashangaa hizo, mbona hushangai Zali all white party imeingiza sh. Ngapi kwa siku moja. Hata hivyo pesa za wizi hazina idadi halafu haziumi. Wana CCM wananunuliwa kama mafungu ya nyanya. Hovyo kabisa.
  5. K

    Afya ya Lowassa Mgogoro: Akimbilia Ujerumani kwa matibabu

    Hali yake imeripotiwa kubadilika na kuleta mshituko mkubwa. Na sasa yuko Kliniki Ujerumani. Hii ni baada ya kutembea mwendo mrefu. Kila kitu kimefanywa siri. Habari hii ililetwa hapa jukwaani lakini Mods wakaifuta, ukweli una tabia ya kujifunua. Pole komred Lowasa.
  6. K

    Afya ya Lowassa Mgogoro: Akimbilia Ujerumani kwa matibabu

    Hali ya Afya ya Edward Lowassa imeripotiwa leo kuwa imebadilika ghafla na kuitia hofu kubwa familia. Watu wa karibu na Mwanasiasa huyo wameshauriana na daktari wake pamoja na familia kumtaka Mkuu huyo kuhudhuria kliniki yake ya Ujerumani kwa matibabu zaidi. Haijafahamika Mara moja nini chanzo...
  7. K

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Acha wivu,Mawaziri wangapi wanaenda Ulaya na America kubembea? Wengine wanaenda na Wasnii wa Bongo Fleva wamenegotiate na kufanikisha jambo gani? Huyu Bwana Waziri yuko Vizuri mnoo!
  8. K

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Acha wivu,Mawaziri wangapi wanaenda Ulaya na America kubembea? Wengine wanaenda na Wasnii wa Bongo Fleva wamenegotiate na kufanikisha jambo gani? Huyu Bwana Waziri yuko Vizuri mnoo!
  9. K

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Stephen Wasira, siku ya jana tarehe 17/04/2015 alikuwa na Kikao na Uongozi wa Chuo kikuu cha Warsaw cha Sayansi ya Kilimo jijini Warsaw Poland (Warsaw University of Life Sciences) mkutano ulilenga kuona uwezekano wa kuanzisha ushirikiano wa Vyuo vya Kilimo...
  10. K

    Mkuu wa Mkoa Mwanza, Magesa Mulongo, anaishi MALAIKA HOTEL analipa 6M kwa mwezi

    Wakati mwingine tuwe tunajadili mambo yaliyofanyiwa uchunguzi. Hii ni saw na ile ya Mengi kurukia gazeti la Udaku kuwa Zitto kamwambia JK "atamshughulikia" Nchi hii pasua kichwa
  11. K

    BVR kutoka China kuanza kusambazwa mikoani wiki ijayo

    Kazi na dawa, katiba mpya na Uchaguzi Mkuu.
  12. K

    Jamiiforums' EXCLUSIVE interview: Ana kwa ana na Balozi Khamis Kagasheki (Shiriki kwa kutoa Maswali)

    Mhe.Balozi nini mtazamo wako juu ya Chama kipya cha ACT Wazalendo?
  13. K

    Viongozi wa ACT watolewa "nduki" Jukwaani

    Fujo ina mwisho wake, siasa haifanywi kwa Mawe, mwaga Sera watu watakuelewa. Soon wakipewa somo watakuwa Wazalendo.
  14. K

    Gari la ACT Wazalendo, laua mtoto mdogo Tabora

    Hivi Ben Saanane yale maamuzi magumu yameishia wapi?
  15. K

    CHADEMA Haina Itikadi Kama Chama!

    Chadema ni kama gari bovu lililokata break kwenye mteremko.
Back
Top Bottom