Recent content by kalamuzuvendi

  1. K

    Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

    Pole sana mdogo wangu. Watu wengi hawaelewi tatizo lako, watu wengi wanaposikia mtu anataka kujiua humuona mjinga sana, lahasha! Una tatizo linaitwa depression(msononeko), unatakiwa utatue kwanza hilo kabla ya kuendelea na kutafuta kazi. Ni tatizo la akili, linasababishwa na stress kuvuka...
  2. K

    Video iliyonitoa machozi ya mwanadada aliyedhalilishwa lodge, hatimaye wahusika wakamatwa na polisi

    Mkuu Skadi, ni PM na mimi. Kuna kitu cha kujifunza hapo. Watu mnaopinga sisi kuiona hii video, kumbukeni hata waziri pia aliona kwanza ndio akatoa maamuzi, ingefichwa huyu dada angedhulumiwa.
  3. K

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    Bintiii...Mtu akisema yeye anataka kuwa Rais kupitia chama chake ni Uroho wa Madaraka?? Au ndio M/Mungu wenu Slaa hana sub? Angalieni, siku huyu Mungu wenu akichukua nchi atabadili katiba atawale milele kama Museveni.
  4. K

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    ikishindwa Chadema Mahakamani, kila mtu humu JF anasema Mahakama/Serikali ipo bias, wameionea. Basi inaposhinda Chadema, tusiishie tu kumpongeza aliyeshinda ila pia kuisifia Serikali/Mahakama kwa kutenga HAKI. Ni hayo tu!
  5. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Utalala vipi na ushakula pesa ya watu u-defende, na mimi nakuacha humu. Usiku mwema kaka Ben
  6. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Angalia ulivyo na akili mbaya, sio kila anae comment hapa ametumwa! Kama nyinyi mmetumwa, sio kila mtu. Mimi nawakilisha mawazo yangu, na nikilala hutaniona tena had weekend..ninakazi za kufanya, silipwi kama wewe! Nimevutiwa tu na conversation ndo napotezea muda wangu!
  7. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Wewe unavojigaragaza hapa kumdefend sa8 ndo utaonekana na hekima...kama ndivyo basi wacha me nionekane mjinga..maana ni wazi umekomaa kumdefend sa8. Au hiyo ndio maana ya Hekima kwako! shard=sa8 #msimamo
  8. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Na wewe unasiku ngapi unakesha kwenye hizi nyuzi za kumchafua Zitto? Mwenzio Shardcole aka sa8 kakesha siku mbili, nyie wabaya maana hamlali!
  9. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Huna lolote, wewe ndo Ben Saanane! Mwenzio Zitto ameshalala sasa hivi!
  10. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Umekesha siku 2 humu? poor u! sasa hapo unatuambia kuwa huna kazi nyingine ila ni hii ya kudefend upuuzi wenu. Ndo inakulipa? Sisi tunaojenga nchi hatuwezi tumia siku mbili kwenye JF..stupid! Nashawishika shardcode=sa8!
  11. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    NEMAsis, u are genious! hapo ndipo point nzima imelala, hizi threads za mamuya na sa8, wamezileta hadharani kwa maslahi ya chama au kuchafuana? Mwisho wa siku wamejenga au kubomoa? nitaendelea kupiga kelele kuwa walichokifanya wao ndio unafiki, haya mambo wangemaliza huko kamati kuu!
  12. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Mbumbumbu we! unadanganyika ka mtoto wa kike, Mnafiki will always be mnafiki! We unadhani huyu Ben ni mtoto mdogo? Soma maelezo yake utajua ni mtu hatari, anaonekana nimtu makini na anajua anachokifanya, kusema kuwa kajua kosa lake me nakataaa..Naona nimuendelezo tu wa mission yake..Hii ni...
  13. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Acha ushabiki wewe mama, unalipwa nini? Mbona huyo Ben alienzisha hicho PM7 humnyooshei kidole? Unaamini kuwa amekuwa msafi sasa hivi ndo kajitoa? Alianzisha kwa nia gani? Acheni unafiki, huyu dogo kwa maelezo niliyo yasoma nimeshamuweka kwenye kundi la wanafiki!
  14. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Mimi nashawishika kuwa hawa kina Saanane na Mamuya ni wanafiki kwasababu zifuatazo: 1: Haya mambo sensitive/nyeti/siri kwenye chama, kwann wayalete jamvini.. Kwan chadema hakuna kamati za nidhamu? Wanapokuja kuyaandika hapa mambo nyeti kama haya bila kujali madhara yake kwenye chama nashindwa...
  15. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Naomba niiquote tena hii ili watu waisome, nyinyi chadema mnazungua..sisi tumu amini nani sasa? Hebu Wadau isomeni hii tena:
Back
Top Bottom