Recent content by Kalamunzu

  1. K

    Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

    ....Ni uamuzi mgumu; lakini makini sana na wenye muelekeo wa kujenga nidhamu ya chama. Haiwezekani watu waamue kufanya watakavyo kwenye mambo nyeti na muhimu kwa maslahi ya chama ilhali chama kikae kimya bila kuwachukulia hatua za kisheria kwa mujibu wa taratibu na au kanuni zinazoendesha chama...
  2. K

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    ....Ni uamuzi makini wenye kuzingatia haki na wajibu wa kufuata sheria, kanuni na taratibu za chama. Ifahamike hapa kwamba, chama makini (kama CHADEMA) hakiwezi kuwaachia wanachama wake wafanye watakavyo hususan kwenye mfumo ambao demokrasi ya vyama inahitaji utii wa sheria, kanuni na taratibu...
  3. K

    Baada ya Rostam nani anafuata?

    ...Nadhani ni muafaka sasa kwa Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete (JK) aachie ngazi kama (1) Mwenyekiti wa Chama, (2) Rais wa Mtandao. Sababu ni: kwanza, ni Rostam Aziz aliyemsaidia JK kuingia Ikulu kwa fedha na mbinu za kimtandao akishirikiana na Edo Lowassa na "genge" la mafisadi papa wa mfumo wa...
  4. K

    Ridhiwan Kikwete na "utajiri wa kutupwa"

    ...Kuna kila sababu ya kutilia mashaka "utajiri wa kutupwa" wa Bwana Mdogo Ridhwan - mtoto wa Mheshimiwa Jakaya bin Mrisho wa Kikwete kutoka Msoga. Ridhiwan, kwa ujumla ni mtoto mdogo katika umri wa kazi na kinyume chake kijana huyu ametokea kumiliki utajiri mnono unaotia mashaka. Pamoja na...
  5. K

    Naomba Munitambue JF

    ...Jina langu (la kalamu) naitwa Kalamunzu dia Zinguku. Nimezaliwa mwaka 1938, tarehe 2 mwezi wa sita (Juni) katika kisiwa cha Bermuda (kwenye pembetatu). Si kawaida sana kwa sisi watu wa Bermuda kujitambulisha kwa maija ya kalamu, isipokuwa kwa vile tumekuwa tukiandamwa sana na mfumo wa...
Back
Top Bottom