Recent content by Kalambo Junior

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Huku mikoani wiki nzima sasa zinanyesha kila siku.Huu ni msimu wake,hakuna uhusiano wowote na kuapishwa kwa rais Magufuli.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

    Ficha ujinga wewe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    kulikuwa na sababu gani ya ww kuanza kujitangaza kwamba ni Ukawa?. Mwana ukawa gani wa hovyo kama ww.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jimbo la NDANDA,CHADEMA Wamechukua.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    kura yangu itahesabiwa ktk kura za Lowassa.Najivunia kuichinja CCM.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Hapa nilipo vijana ni wengi sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Nini kinaendelea huko jaman? Mleta uzi kimya kingi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi KUSHINDA uchaguzi wa mwaka huu tuongee kweli

    Ni wakati wa Mabadiliko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Tuko pamoja wana mabadiliko,endelea kutuhabarisha.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli aumbuka Mbezi Louis (Mbezi Mwisho). Akosa watu, akasirika na kuondoka

    Watakubali tu,Lowassa ndie rais wetu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Sasa mtu akiwa mgonjwa ndo aitwe Maiti inayotembea?.Labda hii ajali ingeondoka na huyu NAPE watu wengine kama wewe mngekuwa na nidhamu kwa wazee wenu. Zimebaki siku2,BADO MMOJA.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waangalizi wa kimataifa NI wezi wa kura"MBOWE

    Ni yuleyule YEHODAYA sasa anatumia ID nyingine ya Mandoros.Endeleen kutapatapa,maana ndo mnakata roho hivyo.ccm out.!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    wewe unawazungumzia watanzania wa wapi?.Watanzania tunamtaka Lowassa,hata ww unalijua hilo.Babeli ni nani aliye kuroga ww?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Juma Duni leo Iringa katika Jimbo la Waziri wa CCM Lukuvi wadoda ile mbaya

    Hii inaonyesha ni jinsi gani ccm mlivyo taaban,umekwenda kufukua mada ya septemba ambayo hata hivyo ilikuwa ni propaganda halafu mnafarijiana na wenzio humu ndani.Hivi we Mr.chin umerogwa?
  15. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni

    Huku site ni Lowassa tu,imekuwa ni aibu kusema hadharan unamuunga mkono Magufuli.
Back
Top Bottom