Nimewahi kuzungumza na CEO wa TTCL, anasema Kampuni ipo nchi nzima, ina wafanyakazi zaidi ya 1500 na haipewi ruzuku na Serikali. Huu ni mchango mkubwa kwa Taifa, ajira kwa Wananchi na huduma katika maeneo yote, wanafika hata kunakoonekana kuwa hakuna faida za kibiashara. Nilishangaa kujua kuwa...
Nina Imani kuwa JPM ataisaidia TTCL kurejea katika heshima yake. Hujuma zimeifanya kamopuni hii kuwa Yatima. Watanzania tuoneshe uzalendo, tuipe nafasi kampuni yetu ya kizalendo ituhudumie, tununue products zao. Swali langu ni madeni, nasikia wanadai mabilioni kwa taasisi za Umma(Serikali). Je...
Ni kweli kabisa kuwa TTCL imeanza ku change.
Naona matangazo kwenye media, mabango mitaani, coverage nyingi na hata duka lao la mjini mtaa wa Samora linakarabatiwa.
Pengine tamko la Waziri la majuzi kuhusu kuwatimua Airtel ni mwanzo, mengine yanafuata.
Bora iwe hivi aisee, chombo cha umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.