Recent content by kalacha mateo

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. 2. Serikali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema wanaosema kuwa Chama Cha Mapinduzi kilikiuka taratibu katika kumteua mgombea urais inawezekana hawafahamu taratibu za chama hicho au wanafanya makusudi. Chama Cha Mapinduzi kina utaratibu wake inapotokea mgombea amemaliza miaka yake mitano na anataka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Korea: Ziara ya Rais Samia kufungua fursa mpya kwa Watanzania

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua muhimu katika kuendelea kudumisha, kuimarisha na kuongeza ushirikiano wa moja kwa moja kati ya nchi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukomo mkataba bandari utawekwa kwenye mikataba ya miradi

    Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari akitoa ufafanuzi kuhusu suala la ukomo wa muda kwa mikataba ya uendelezaji na uboreshaji ufanisi wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wasukuma mnapoongeza wake muongeze na mashamba

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati aliposhiriki tamasha la utamaduni la Buyalo mkoani Mwanza. Rais Samia Suluhu aliwasisitizia wakulima kuhifadhi chakula ili kiweze kuwasaidia wakati wa uhaba wa chakula. Aidha aliwatania wasukuma kwa kuwaambia wanapoongeza familia akumbuke kuongeza na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuichagua kampuni kutoka Dubai kufanya kazi bandari ya Dar es Salaam

    Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanavyonufaika na uwindaji wa kitalii

    Uwindaji wa Kitalii Wanufaisha Nchi, Billioni 9.6 zatolewa Kwa Halmashauri na Vijiji Pembezoni mwa Mapori ya Akiba na Mapori Tengefu - Kamishna Mabula Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Misungwi Nyanda amesema shughuli za Uwindaji wa Kitalii...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

    Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kati ya Ajira 10 ajira 7 ni za sekta ya Kilimo

    Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65 za ajira kwa vijana ambayo ni takribani sawa na watu saba kwenye kila watu kumi wanaoajiriwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Dkt. Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar

    Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta maendeleo ya Tanzania. Tanzania ilipata mkopo wa ahueni ya UVIKO-19 na maelekezo ya Rais Samia ni...
Back
Top Bottom