Recent content by Kal Khan

  1. Kal Khan

    Mwanamke apewa daraja la upadri

    Wanajamii JF. Mtanadao wa waharakati wanaopigania wanawake kupewa daraja la upadri, Umemtangaza mwanachama wake Lillian Lewis (75) kuwa Padre Mkatoliki. Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa...
  2. Kal Khan

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema Mh. Godbless Lema amemtia moyo Mh Zitto Kabwe kufuatia kuondokewa na Mama yake Bi Shida Salum. Lema amemtia moyo kupitia Chadema. R.I.P Kamanda.
  3. Kal Khan

    Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    Mnamuonea bure Maji Marefu mbona wapo wengi tu kina Joseph Mbilinyi, Godbless Lema.
  4. Kal Khan

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na timu yake wawasili Kaliua, ahutubia Maelfu ya wananchi Urambo, Tabora.

    Kama CCM wameweza kuwarubuni wananchi Chadema mnashindwa nini.
  5. Kal Khan

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Muungano utavunjika siku ya kupitisha jina la mgombea urais.
  6. Kal Khan

    Ni mgeni niko dsm

    Karibu sana.
  7. Kal Khan

    Vitabu vya hawa waandishi vimewapa mwanga Tanganyika na Zanzibar kujua tulipotoka katika siasa zetu

    Unajidhalilisha bure bora ungekaa kimya uwe msomaji ungejifunza zaidi. Unadhani matusi ndio yatakusaidia uonekane mjuaji. Sijui kama utakuwa na matusi mapya ya kunitukana ambayo sijawahi kutukanwa na wajinga.
  8. Kal Khan

    Vitabu vya hawa waandishi vimewapa mwanga Tanganyika na Zanzibar kujua tulipotoka katika siasa zetu

    Watu wanaongelea vitu vya msingi wewe unaleta utoto...Daa!! JF kuna vituko vya kila aina.
  9. Kal Khan

    Vitabu vya hawa waandishi vimewapa mwanga Tanganyika na Zanzibar kujua tulipotoka katika siasa zetu

    Lazima na mie nipate copy mbili moja yangu ingine tamtumia ndugu yangu Canada.
  10. Kal Khan

    Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

    Ben, hivi wewe peke yako ndio unajiona una haki na Chadema, mwenzako kauliza ni kiasi cha kumjibu kweli au siyo kweli.
  11. Kal Khan

    Heko CCM, kwani watu wanafiki kama Watanzania wanahitaji viongozi jeuri na msiojali kama ninyi

    Chadema waliitupa Mtwara kwenye swala la gesi hatukona matamko yao kama yale ya Arusha, Chadema wao wapo na Arusha tu raia wengine hawana thamani kabisa.
  12. Kal Khan

    Rais JK akabidhi vitabu kwa maktaba Jeshini

    Wana JF, Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya Jeshi ili kuongeza taaluma. Rais amekabidhi vitabu hivyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na kuahidi kuendelea kutafuta...
  13. Kal Khan

    Rais Kikwete atunuku nishani na tuzo za miaka 50 ya Muungano

    FaizaFoxy, Hizi bayana zako murua sana.
  14. Kal Khan

    Miaka 50 ya muungano na fikra za rais wa kwanza wa Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere

    Imefika wakati sasa watanzania wenye asili ya asia warudishiwe mali zao walizodhulimiwa na Nyerere. Majengo mijini karibia mikoa yote yalikuwa mali ya watanzania wenye asili ya asia, tukianzia mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam, Arusha, Tanga. Maeneo yote posta Dar, Samora, Bibi Titi, Azikiwe...
Back
Top Bottom