Usidhani inatokea kwa bahati tu.Kuwa Rais Tanzania kwa Muislam ni lazima uwe Muislam poa wa kutokea Bakwata.Ukiwa siasa kali kama kina Ponda,Urais utausikia kwa wengine.Kwahiyo ondoa dhana kuwa yeyote muislam akiwa Rais atakuwa na ubinadamu tofauti na wakristo.
Kiingereza na Kiswahili ndizo lugha rasmi Tanzania.Hoja yangu ni kwa wale wanaombeza Magufuli kuwa hajui Kiingereza.Kumbe wote Magufuli na Lowasa hawajui Kiingereza vizuri.
Sijawahi kuandika kuwa uongozi imara unahitaji kujua Kiingereza kwanza
usitishe watu wewe..Nitzsche alikuwa mzee wa totoz na alipata mental breakdown kwa sababu ya kaswende na ndiyo ugonjwa uliomuua baada ya kusambaa kwenye mfumo wake wa fahamu(neurosyphilis)kwavile wakati huo hakukuwa na matibabu ya kaswende
lingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.