Naamini! na mimi ni mfuatiaji wa siasa za kimataifa na za ndani, hakuna kiongozi yoyote duniani mwenye mamlaka ya kibunge, ambaye anaweza kusimama mbele ya hadhala akatamka maneneo ya aibu kama alivofanya Lusinde, amepotoka, amejidhalilisha, amelidhalilisha taifa, ameidhalilisha familia yake...