Ndg wanaJF, mwenzenu nimechoka kuvunjiwa na wezi kila wakati. Naomba mwenye kumjua mganga anyeweza kunipatia dawa ya kuzuia wezi kwenye biashara yangu, tafadhali njoo inbox unisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.