Recent content by kakolo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Yule mwenyekiti wa Ma-Dr alitekwa akang'olewa meno na kutelekezwa Mabwepande kwa kuongozoza Ma-Dr kudai haki zao ilikuwa wakati wa Magufuli? Mauaji kule Kibiti ni kipindi cha Magufuli?
  2. K

    JamiiForums Tanzania My crazy theory…..

    I thought about it hasa baada ya polepole kuanza kuexpose mambo ya ndani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

    Mhhh wewe lete watu si mtu. Watu hufa kwa sababu mbalimbali. Wale waliopigana vita ya kwanza ya dunia waliobaki kama wapo ni wa kuhesabu. So ni kawaida na faida ni nyingi za kuleta watu kuliko kutokuleta.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Tuhuma

    Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric. 2. Tuhuma wanazotaka Polepole...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Temeke: Jinsi Tozo inayoitwa SERVICE LEVY inavyokomesha Wafanyabiashara

    Service levy huwa inalipwa kwa mwezi. Kutegemea na biashara zingine ni laki kwa mwezi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Ndugu Polepole amesema kama una doubt nenda Usalama wa Taifa information zipo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Yuko vizuri sana. Nafikiri kufanya na Magu pia ilimwongezea maarifa zaidi. Ila ni mtu anayependa kujifunza pia.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Haviko huru. Katika hali ya kawaida kuna tuhuma nyingi sana kama wangekuwa waadilifu wangechumhuza. Actually huenda hawajui hata majukumu yao maana hata raia ukienda kushitaki wanaulizia hela tu za kuwawezesha. vituo vya polisi ni kama daladala.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Ukiona udhaifu huo ndio katiba mpya inatakiwa na mawazo ya Gwajima kuwa na mantiki. Rais ni Mungu kwa hali ilivyo kwa sasa. Mfano kina Silo au Siro kuwa mabalozi mara wakuu wa mikoa ni rushwa kwa sababu wanapewa shukrani kwa kazi za kuwgandamiza wananchi. Huyu former CDF na yeye amepewa cheo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Real sad. Sizijui sana kero za Muungano inawezekana hii haipo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Who is paying this loan? Challenge kweli huu Muungano. Rais wa Zanzibar akikopa ni ya Zanzibar, Jamhuri ya Muungano means Tanganyika. Nafikiri Wabara wanaulipa huu mkopo 100%.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

    Siasa za kitoto hizi. Wewe unaamini alivamia kweli? Wale clouds walim snitch. Na sasa hivi wanajipendekeza kumpa coverage.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

    Kama umefuatilia huwa anachangisha. Hata hivyo kiongozi kusumbuliwa na hela ndogondogo milion hizi ziko ndani ya uwezo wake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Makonda hata akigombea na Samia kama mgombea binafsi anamtoa asubuhi tuu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Hawa wote hata wakirudishwa na akina Kikwete na Samia wawekwe kwa wananchi. MAKONDA ndio deal. Umeona Chadema kwishney Arusha.
Back
Top Bottom