Chanzo cha picha, AFP: Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
Kuporomoka hadhi ya utumishi wa umma, kazi za kitaaluma kutothaminiwa, maslahi hafifu, hofu ya kutumbuliwa, usalama mdogo wa kazi, mazingira magumu ya siasa na kuwa njia rahisi ya kupata mafanikio, kutoa michango...