Recent content by Kakisu

  1. K

    Picha hizi hatuwatendei haki Polisi

    Siku hawa jamaa ukiingia anga zao vibaya ndio utajua kuwa hawa jamaa ubinadamu hawaujui, hata kama una haki na huna kosa utaisoma.
  2. K

    Mabasi ya kichina ni kero kwa wasafiri

    Kweli limeungua kabisa lilikuwa linarudi dar kutokea mtwara, inaelekea lilikuwa na tatizo la kiufundi.
  3. K

    Nani atatukomboa na kutuokoa katika hili?

    Imekuwa ni mazoea ya sisi watanzania kulalamika sana kwenye media mbalimbali hasa linapotokea jambo linalogusa na kuathiri maisha yetu. Hivi karibuni gharama za umeme zimetangazwa kupanda, baada ya muda nauli zitapanda pamoja na gharama za chakula, kinachoshangaza ni sisi wenyewe waathirika...
  4. K

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Mbona hamna anaetoa majibu ya kueleweka au wote hatujui tutafute majibu sehemu nyingine?
  5. K

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    kwani nembo zinakaa kwenye engine?
  6. K

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Hongera kwa rubani kwa kutua salama, hayo mengine ni ya ziada tu, suala la kugeuka siyo issue kubwa.
Back
Top Bottom