Kaka mwaka wa chuo sio miezi12, ni miezi8 tu! 230,000X8=1,840,000
Alivosema 1,800,000 hakukosea ila alichokosea ni kusema miezi3. Badala ya mwaka mzima(alimezeshwa vibaya) 60,000 kwa mwezi chakula cha aina gani? Kwa sababu hata usema unakula mkate na maji ya uhai kila siku hiyo 60,000 sidhan...