EDWARD LOWASSA:Pamoja na Kashfa za Ufisadi bado anaota Urais.

Afadhali kumpa kingwendu urais lakini sio lowasa
kumbuka hapa tunaongelea nafasi ya kugombea urais kupitia CCM sio urais wa Tanzania?
kwa kugombea aachwe tu.
 
Lakini pia usisahau kuwa mtu yoyote anayetaka urais lazima tumpime na kumjadili kuhusu uwezo wake wa kutuongoza na sio nyota ya umaarufu anayosafiria.
Hapo kijana umenena vema.
"...nyota...."
ndo inatuumiza Tanzania tangu 2005.
 
Jamani mzee wa MVI alishakana kupitia ndani ya kikao cha NEC-CCM kilichoongozwa na mwenyekiti wke taifa kwamba: ' Ninashangaa mimi kuitwa fisadi, nini msichokijua. Kama ni Richmond niliamua kuwafukuzilia mbali na wewe mwenyekiti ukashauri tuwaache kwanza, sasa iweje mniite mimi ni fisadi ilhali kila kitu mnakijua?' Vile vile kumbuka, wakati wa kujiuzulu kwa alitamka haya; "Ili kuweka historia vizuri, Watu wamekwenda mpaka Marekani kutafuta ushahidi, hawakuniuliza chochote wala kunishirikisha, hawakuniita nikakataa, Kama ni uwaziri mkuu ndiyo shida basi naachia ngazi. Sasa tunamhukumu EL kwa sababu zipi? Acheni laigwanani apumzike jamani.

Well said

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
sio mmasai bhana.ni mmeru aliyekulia umasaini na kulelewa umagambani. siku akichaguliwa kugombea urais mwakyembe na mzee wa spidi na viwango watakimbia nchi.
 
Back
Top Bottom