Recent content by kakhulu

  1. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina mtoto wa dada yani toka std 1 akifaulu sana ni wa pili kutoka mwisho hata form 4 ni kuungaunga hadi kamaliza, mama ake kachapa, fundisha sana yani unaweza fundisha 1+1=2 dk2 ukimuuliza tena kasahau ila sasa mpe asimamie biashara hapo hapotezi hata 100 na anajua kutengeneza faida ikabidi...
  2. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Hadi roba jmn [emoji23][emoji23]
  3. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Watu wanacomment hata case ya kifo cha kim porter iwe reopened
  5. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

    Kuna mdau alisema ndo goita ule ugonjwa ukila nyama ya mbuzi sana, sijui kweli
  6. kakhulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

    Umesema vyema upendo ukiisha huenda na chuki, jisamehe uanze upya
  7. kakhulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo

    [emoji120]
  8. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Kinachoshangaza mkoa wa kigoma kuna viongozi wakubwa wametokea kule hivi wameshindwa kuupigania ule mkoa zile barabara zikapigwa lami? Imagine kuna vipande vipande kama mkate wa ajemi hapa na hapa lami kidogo vumbi la kwenda inakera sana
  9. kakhulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Yani wewe unapenda kama rafiki yangu mmoja hivi ila mwisho wa siku hamna anachopata
  10. kakhulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  11. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Hili nilijifunza toka chuo kipindi sina circle kubwa ya marafiki na nilikuwa nimepanga mtaani basi yani hamna mtu alikuwa anafahamu mambo yangu, kosa tu group members walipokuja kuwa bffs aloo mara ugomvi mara umbea usioeleweka nikaona bora niweke ukuta kwa baadhi ya watu kama awali.
  12. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Oceangate washatangaza kazi kuziba nafasi ya yule nahodha
  13. kakhulu

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu kupotea kwa 'Submarine' ya Titan

    Ni hatari
Back
Top Bottom