Tumeshuhudia ajali kadhaa miaka ya karibuni, mfano vifo wa wanafunzi 32, walimu 2 na dereva.
Hatukushuhudia upendo kama wa hivi sasa wa majeraha wa moto kupelekwa Muhimbili kwa helicopter, kujuliwa hali hospitali na kupewa vibahasha vya pesa. Serikali nzima kuhamia Morogoro na kushiriki na...
Kwa kifupi kabisa, hongera sana Mexence Melo kwa ujasiri mkubwa. Umekuwa ukipitia wakati mgumu kwa kukataa kuwasilisha taarifa za watumiaji wa Jamii forum. Makampuni ya simu kwa uoga yamekubali kudhalilisha wateja wao kwa kuvujisha maongezi yao ya faragha. Big up bro
Chenge mtamuonea tu, yeye Kazi yake ni kutekeleza ilani ya CCM. Ndio maana na tuhuma zake zote bado CCM wamempa uenyekiti wa Bunge kumpongeza kwa utekelezaji wake wa ilani
Najaribu kufikiria, kwanini Mzee Lowasa ambae tumeaminishwa kuwa ndie fisadi mkubwa hayumo kwenye haya makashfa makubwa ya madini, gesi, na escrow?. Hivi kweli huyu mzee ni fisadi kweli?
'Path of Allah'
The belief in Ramadan as a month of war comes from Islamic history itself.
The Prophet Muhammad waged his first jihad, known as the Battle of Badr, during Ramadan in 624.
Eight years later he also conquered Mecca during the month of Ramadan, thereby claiming the city which...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.