Recent content by KakaBrother

  1. K

    Sheria ya kelele: NEMC yatangaza rasmi kiama kwa wachafuzi wa kelele kwenye makazi ya watu

    Mikutano ya kampeni itapigwa bila spika maana nayo ni kelele. Gharama ya sherehe laki 5 faini ya muziki milioni 10. Twende kazi!!!!
  2. K

    Sugu agoma kusoma hotuba ya Upinzani katika Wizara ya Habari baada ya kukuta 80% ya maneno yameondolewa! Naibu Spika ataka isiwekwe kwenye kumbukumbu

    Asee Sugu nakukumbusha si lazima uisome hapo mjengoni.Tupia kwa mitandao tujisomee wenyewe maana hata hiyo waliyoiandaa wao bado hawataipitisha.Wananchi waliowatumeni ni zaidi ya hilo bunge lenu la kibaguzi. Angalia mwenzako Lissu yuko huko ughaibuni ila akituma kitu kwa mtandao nchi nzima...
  3. K

    Serikali kuwarejesha kazini watumishi wote waliondolewa kimakosa nchi nzima

    Mwaka wa uchaguzi.Bahati nzuri hakuna fala nchi hii.
  4. K

    Waziri Mwakyembe aiagiza BASATA washirikiane na Jeshi la Polisi kumchukulia hatua Dudubaya

    Hapa dawa ni waandishi wa habari kuwahoji wasanii wakongwe kuhusiana na kauli ya dudu kama ina ukweli.Soma kitabu cha Muziki na Maisha,mwandishi kuna sehemu alieleza kidogo kuhusu haya yanayojadiliwa leo.
  5. K

    Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

    Huyo ni mwanajeshi kweli au ni mtoto wa mwanajeshi au ndugu yake kamchomeka tu kiaina??Unanigwaje na mafunzo yote hayo?? Anyway RIP
  6. K

    Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

    Ingekuwa mbunge wa chama kingine.....
  7. K

    Mke wa Rais wa Marekani, Melania Trump Ataka Makamu Mshauri Wa Usalama, Mira Ricardel afutwe Kazi

    Kweli nimejifunza kitu;Habari inahusu ikulu ya marekani ila comments zinahusu ikulu ya Bongo.Ndio utajua jiwe halifai hata kusugulia miguu.
  8. K

    Manyara: Askari wa Jeshi la Wananchi akamatwa na mirungi kilo 20

    Na nyie mkiingia kwenye 18 zao si kutafuta samaki lami huko
  9. K

    Ikulu: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rostam Aziz

    Kanyaga twende bhana.Bora liende
  10. K

    Nachukizwa na tabia ya kuona kauli za utashi na busara kutafsiriwa kama siasa

    Kwa kweli binafsi nachukizwa sana na hii kauli ambayo naona sasa imekaa na inaendelea kukomaa midomoni mwa viongozi, tabia ya kujiaminisha kwamba wao tu ndio wenye midomo na yeyote anayetaka kusema jambo hata kama limejaa utashi na busara za kiasi gani inatafsiriwa kama siasa. Ni nani...
Back
Top Bottom