Recent content by Kaka_Inno

  1. Kaka_Inno

    Wako wapi mkekabet?

    Nimeshajaribu mara 3 ile namba yao haipokelewi au naambiwa haiwezi kuunganishwa. Kama kuna namba nyingine naomba mkuu
  2. Kaka_Inno

    Wako wapi mkekabet?

    Wamerudi ila pesa zetu zilizokuwemo kwenye akaunti zimekwenda. Huu ni uhuni
  3. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kacheki hapa upate version unayohitaji https://b-ok.africa/s/A%20time%20to%20ki
  4. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Jaribu kutafuta humu kwa kutumia jina la muandishi au title ya kitabu; Electronic library. Download books free. Finding books Library Genesis
  5. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Yawezekana berti yake tayari haiko imara kama inapokuwa ikiwa mpya lakini pia electronic devices ni matumizi kama ilivyo kwa simu ya mkononi. Yawezekana nilibahatika kununua ambayo bado iko vizuri upande wa betri kwa sababu naitumia kwa wiki nzima na zaidi. Tembelea wesite yao tafadhali utaona...
  6. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kwa Kuwa matumizi pekee ni kusoma vitabu charge unadumu nayo hata wiki nzima hadi wiki 2. Kwa hii yangu ni vitabu tu ila latest editions nadhani zinatumia android OS na unaweza kuweka hata apps nyingine ukatumia kama tablet ya kawaida japo sina uhakika kama zina uwezo wa kuingiza SIM cards kwa...
  7. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kuichoka bado sana mkuu. Cheki na hii link hapa amazon kindle bookstore Arusha 2659674 | Kupatana kuna jamaa alipost tangazo siku kadhaa nyuma anauza naona anazo tatu, unaweza kubahatika
  8. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions). Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8...
  9. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kwa kuongezea, unaweza pia kupitia websites hizi kupata vitabu zaidi; Library Genesis EBooksCart - Free Books one Click Away Electronic library. Download books free. Finding books Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
  10. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mkuu, memory za simu zetu za promotion hizi ni Kama unavyojua, nikimaliza huwa nafuta au kuhifadhi kwenye pc. Vitabu viwili Kati ya ulivyoomba utavipata hapa [emoji117]EBooksCart - Free Books one Click Away Capitalist Nigger nilisoma kupitia app ya Scribd. Ni bure kwa mwezi wako wa kwanza...
  11. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Samahani kwa kuwa nje ya mada husika. Ni app gani hii unatumia boss?
  12. Kaka_Inno

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Asante sana. Nadhani ni mipangilio tu ya mambo yako na muda wako, kwa wakazi wa Dar tunaotumia daladala kila siku kwenda kwenye majukumu yetu tunatumia zaidi ya saa moja kwenye foleni, muda huo unaweza kuutumia na kitabu vizuri tu. Saa moja au nusu saa kabla ya muda wako wa kulala unaweza pia...
Back
Top Bottom