habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe...
Habari wadau!
Je, unajua kuwa mahali unapoishi inaweza ikawa ndio kikwazo katika mipango yako ya mafanikio?
Jamaa mmoja aliuziwa kiwanja sehemu flani akajenga nyumba mpaka ikakamilika lakini baada ya kuhamia alishangaa wakiwa wamelala usiku na familia yake wakawa wanasikia kama kuna watu ndani...
Habari wadau!
Vitabu vizuri vinauzwa novels, mathematics na science, kutoka nchi mbalimbali Canada,u.s.a,uk n.k,mathematics hasa kwa level ya primary na science kwa level ya primary, secondary hadi college, kwa kipindi hiki cha karantini mnunulie mtoto wako vitabu vya kumfanya awe busy...
Habari,
Nahitaji msaada wenu wadau,ni wapi naweza kupata maziwa ya n'gombe kwa wingi zaidi na kwa bei nafuu, nahitaji maziwa ya n'gombe original kutoka kwa mfugaji ikiwezekana, na sio ya kutoka viwandani.
Nicheki kupitia 0687234549
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni supplier wa vifaa vya shule stationaries kama vile vitabu, madaftari, laboratory equipment n.k,na ungependa kuongeza Tenda za Ku supply bidhaa zako, tuwasiliane 0687234549
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.