Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.
Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana.
Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana.
Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo.
wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi.
Kuna kazi ukiwapa...
wenye akili sana ujikuta upotezwa na walimu wao mfano vyuoni.Ukileta uwezo mkubwa kuna uwezekano wa kukufelisha.
Ukigundua kama ni mtoto wako hakikisha upeleke sehemu sahihi sio kumpeleka vyuo ambavyo walimu wanataka kuwa juu.
Umetaja wall street mfano hapo kwenye soko la dunia la forex kubwa...
Ungezaliwa kipindi cha yesu au mtume s.w.a tunge kuhesabu kama ulivyo wale watu walikuwepo bila mchango wowote.Ila mabadiliko yakishafika ndio wa kwanza munufaika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.