Recent content by kaka senior

  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

    Mama Tiba kumbe ameingia wizara ya ardhi kujinufaisha? ama kweli Mugabe aliona mbali kumtimua huyo prof. Kanjanja.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Wizara ya Ardhi na Makazi Kuuza Ardhi ya Kigamboni kwa kutumia Udalali wa Kimataifa

    Kinachonichanganya mama Tiba alipochaguliwa wengi tulimwamini na alianza kwa kuonyesha kua kwa kipindi kile tumepata mwarobaini wa kutibu matatizo makubwa tuliyokua nayo ktk kuporwa ardhi yetu na kile kilichoitwa waekezaji "du kumbe Mama huyu ni dalali" Asante mh. Halima Mdee kwa hutuba yake ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    Wakigoma mjini umemuona anayesinzia? Ni huyo mtu mzima hapo kwenye hiyo picha hapo juu safari ni safari na sio Mbowe.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    Suala la kusinzia ni tofauti na kulala Hata hivyo hakusinzia aliinama huyu jamaa anayejiita kigoma mjini ameshikwa na homa ya dengue mpelekeni hospitali.
Back
Top Bottom