Recent content by Kaka mwisho

 1. Kaka mwisho

  Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

  Battery lake lina kubwa wa mAh ngapi.?
 2. Kaka mwisho

  Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

  •4G •Camera 5mp •Inch 5 •Gb 16 kwa GB 1 •Os GO Edition •Dual sim •Selfie VGA •Battery = tigo sijaona taarifa zao ITEL T20 ni zaidi ya simu janja nyingine kwa sababu imewekwa huduma nyingi za kidigitali. ITEL T20 ni simu janja yenye uwezo wa 4G ikiwa na ukubwa wa screen wa nchi tano na uwezo wa...
 3. Kaka mwisho

  Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

  Hii T20 sijafanikiwa kuiona unaweza kuilink? •4G •Camera 5mp •Inch 5 •Gb 16 kwa GB 1 •Os GO Edition •Dual sim •Selfie VGA •Battery = tigo sijaona taarifa zao ITEL T20 ni zaidi ya simu janja nyingine kwa sababu imewekwa huduma nyingi za kidigitali. ITEL T20 ni simu janja yenye uwezo wa 4G...
 4. Kaka mwisho

  Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

  Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja. Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop. NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali kuinstall ( update)
 5. Kaka mwisho

  Tovuti ipi nzuri ya bure kwa nyimbo zilipendwa

  Wadau wa nyimbo hasa zilipendwa kama Msondo,Sikinde,Marijani, Mbaraka,Les Wanyika nk ni tovuti (web) gani nzuri nitapata hizi nyimbo bure.
 6. Kaka mwisho

  Kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi ina bidhaa nzuri?

  Wadau nataka kufunga umeme wa jua Nyumbani, Naombeni ushauri na uzoefu wenu kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi nzuri na bora kwa vifaa vyake. ZOLA wanamitambo ya WATT 40 mpaka 100 NA MOBISOL ni WATT 40 mpaka 200. NIJIUNGE KAMPUNI GANI KATI YA HIZI?
 7. Kaka mwisho

  Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

  TB inatibika, hata Corona ikipatikana dawa maisha yatakuwa kama kawa tu. Tatizo Corona haina kinga wa tiba.
 8. Kaka mwisho

  Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

  Kasema wanawake, unafikri yeye hajui kama mama yake ni mwanamke. Msipende weakness za Hovyo. Wanawake wote ni chombo cha starehe, Mama yako ni chombo cha starehe cha baba yako, Dada yako ni chombo cha starehe kwa njemba zingine. Tunapokezana vijiti. "WANAWAKE NI CHOMBO KIKUU CHA STAREHE"
 9. Kaka mwisho

  Jifunze kilimo cha nyanya

  Kati ya Zara f1 na imara f1 IPI nipande kwasasa hapa kigamboni ekari moja.?
 10. Kaka mwisho

  Tunatoa huduma ya kusimamia shamba mwanzo mpaka siku ya wewe kuja kuvuna kwa gharama nafuu, mashamba yapo mkuranga.

  Wakulima, kwa yoyote anayehitaji kulima kilimo cha matikitimaji, nyanya,mahindi na nk ambaye hana muda au kwake usimamizi ni changamoto unakaribishwa. Tunatoa huduma ya kusimamia shamba lako kuanzia mwanzo mpaka siku unapokuja kuvuna au kuuza mazao yako. Gharama zetu ni ndogo sana. Kwa...
 11. Kaka mwisho

  Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

  Write your reply...kwa yoyote anayehitaji kulima matikiti maji kwa ukanda wa pwani hususani wilaya ya MKURANGA na huna muda wa kusimamia shamba mwanzo mwisho tunatoa huduma hii kwa gharama ndogo sana, utakabidhiwa shamba Siku ya mavuno. kama unahitaji huduma hii wasiliana nami 0622925630
 12. Kaka mwisho

  MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikiti maji, faida na changamoto zake

  mbinu za umwagiliaji ni zipi ukiacha ya matone. kwa kutumia pampu nielekeze
Top Bottom