Recent content by Kaka Jose1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wewe utakuwa na chuki binafsi tu unatumia hiyo nafasi kutoa sera zako za kiupizani na kujikomba kwa serikali iliyopo ili uone kama utapata nafasi serikalini ya kupozea njaa zako na kujitibu kiu ya tamaa zako za madaraka. Rizika na uwakubali waliopewa nafasi za kukuongoza.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    Lete sababu za kwako unazozijua kwamba ndizo zilisababisha auawe... Acha ujuaji usio na msingi. Ili uonekane na wewe umo unajua kuongea au?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Maelezo yako hayajitoshelezi bwashee. Ongea ni wapi alipo mtaalamu wa kunifanyia hilo unaloongea. Mengine ni mbwembwe tu za nyongeza ambazo sitaki. Lete point yenyewe mtaalamu (uhakika) ni nani na yupo wapi basi ndo nataka alafu mengine niachie mimi. Nimekatwa kichwa, nimefirwa, sijui nimeombwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    nakupigia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Hizo ndo habari za maana sasa. Lete connection bas kama unajua sehemu na mganga mwenyewe basi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    tunduma sehemu gani na kwa nani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Acha zako... Punguza woga alafu
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAOMBA USHAURI: Baba yangu mzazi ana tabia ya kuwatongoza wasichana wa kazi nyumbani kwangu

    Fanya hivi: kama unamtunza baba yako kwako ina maana wewe una uwezo angalau kiuchumi. Muelimishe matumizi ya kondom na kila mwisho wa mwezi mtoe elfu 50 na uwe unampeleka viwanja mlengeshee size zake ili ajipatie raha duniani. Hakikisha anapata demu wake wa kudumu wa kumpa huduma sio unajifanya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mbona mnakimbilia kuliwa tigo kana kwamba ndo sheria ya mtu kupewa uchawi wa pesa? Ebu twambie we wenyewe umeliwa mara ngapi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Lwanda magere anazingua hatoi connection. Ashatupa address feki mara 2 tuna enda kongo hola!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    hakunaga kitu kama hicho bro..
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    vimeumana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Habari ya wakati huu ndugu, kama unamjua mganga popote hapa TANZANIA mwenye uwezo wa kumfanya mtu apate mali (PESA) Kwa njia yoyote au freemason na una uhakika 100% tafadhali unisaidie kunielekeza. Natafuta sana hilo jambo Nipo Moshi
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika 'Uhakika 100%'

    Kweli kabisa! Vinaweza nizidi nguvu vikapindua usukani wa familia
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika 'Uhakika 100%'

    Habari ya wakati huu, Ninahitaji mwanamke ALIYE TAYARI KUISHI MAISHA YA WAWILI kwa sasa. Naposema kwa sasa namaanisha kwa muda mfupi tuanze kuishi pamoja. 0623 935 605 Sina mambo mengi isipokuwa vigezo vichache hapa chini:- a. Umri 23-35 b. Uwe huru na Usiwe na ndoa inayoendelea c. UKWELI NA...
Back
Top Bottom