Recent content by Kajunjumele BA

  1. K

    TAKUKURU: Kurudisha hela hakukuondoi kwenye tuhuma, sheria kufuata mkondo wake

    Kurudisha fedha siyo kosa lakini vilevile kurudisha fedha hakukuondolei kosa....ila ingekuwa kule kwa wenzetu kwenye Plea bargaining ingeweza kuwa kama mitigation factor ili prosecution machinery iende kwa kosa dogo na siyo kubwa lakini hapa kwetu hicho kifungu hakipo
  2. K

    Twitter breaks its silence on possibly unconstitutional FBI data requests

    Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya ...hayo Maswali yangu ungeyaelewa ungetambua kwamba kunatofauti kubwa sana ...tena sana ya ufafanuzi wako na uhalisia wa Usalama wa Nchi kama inavyotumika hapa nchini. Usalama hauhitaji kubeba dhana za kufikirika.Issue ya Osama nitofauti sana Kama mbingu na...
  3. K

    Twitter breaks its silence on possibly unconstitutional FBI data requests

    Kama ni hivyo it is the other way round na Ujinga ni sifa ya Binadamu anaye penda kujifunza... ...unajipiga risasi mwenyewe....USALAMA WA NCHI MAANA YAKE NINI? NA USALAMA WA NCHI UNAANZIA WAPI NA KUISHIA WAPI? NA NANI ANAPIMA KIWANGO CHA USALAMA WA NCHI NA KUWEKA MPAKA WA HAKI YA FARAGHA YA MTU...
  4. K

    Twitter breaks its silence on possibly unconstitutional FBI data requests

    ndiyo maan mitandao hii inayo ongozwa na watu wenye kuelewa maana ya haki ya faragha ya mtumiaji,uhuru wa maoni na haki ya kulindwa kwa Mtu dhidi vitendo haramu vya vyombo vya dola wanapinga Ujinga huu ambao kwetu eti inaitwa kwa usalama wa Taifa ...hivi unaomba mawasiliano ya jumla ya mtu kwa...
  5. K

    Hoja: Msajili wa Vyama vya Siasa ana Mamlaka kufanya alichofanya kwa Lipumba na CUF?

    sidhani kama huyu aliyekiandika hiki anakielewa maake vifungu vilivyo oneshwa vinasema hiki yeye anasema hiki...labda nimesahau kiingereza nirudi darasani
  6. K

    Afikishwa Mahakamani kwa kumtisha Rais Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp

    AMANI ni nini inaumbile gani na Inavunjwaje ...ni wakati gani utajua una amani ...ni kitu cha jumla au hali ya mtu Binafsi je ni kipimo kipi tunacho pima kiwango na kiasi cha amani... Je amani ni Nini hasa katika mahusiano ya kibinadamu ....Je nini sehemu ya amani katika Uhalisia wa mtu....Je ni...
  7. K

    Serikali yaipa miezi mitatu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutekeleza Ujenzi wa Viwanda

    Viwanda vya namna gani...kwa maandalizi yapi na human Resource ipi...hivi viwanda ni vya kuserve sekta gani na mpango gani mtambuka ulio andaliwa kuunganisha sekta mama na sekta Mtambuka ili kukidhi dhana ya uwekezaji endelevu...kufungua au kuanzisha kiwanda nitofauti na kufungua KILABU CHA...
  8. K

    Afikishwa Mahakamani kwa kumtisha Rais Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp

    shida yangu ilikuwa pale kwenye MAGU....na kupindua IKULU....sasa sijui kama IKULU ni SOVEREIGN POWER ili kupinduliwa
  9. K

    Makosa ya Kimtandao: Mtoto wa Chacha Wangwe afikishwa Mahakamani Kisutu

    Nadhani amuite Sheif sherif Hamad aje kuwa shahidi wake upande wa Utetezi ili awabomoe vizurii kujustify maelezo yake....Unaweza ukakubali kwamba haya ni yangu lakini ukakataa kwamba haya oneshi kosa unalotuhumiwa...
  10. K

    Afikishwa Mahakamani kwa kumtisha Rais Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp

    Kkkkkkkkkkk Kupindua Ikulu...kkkkkk...mbavu zangu mie dah haya mashtaka sasa ...kosa la kupindua Ikulu...TEHETHE HIVI IKULU INAPINDULIWAGA.......MAGU ametishiwa ...akataishika au? dah Mungu tusaidie hapa tulipo sipo huku tuendako siko hilo shtaka nimelipenda kweli....KUCHAPISHA TAARIFA YA...
  11. K

    Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa cha Sept 3-4 chaahirishwa...

    Ole wake atakayeifanya siku hiyo itokee maake ingekuwa heri kwake jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake na kutoswa baharini...na hakika dunia nzima italaani siku ya kuzaliwa kwake mtu huyo
  12. K

    Mchungaji amuonya Magufuli dhidi ya kauli zake za vitisho: Asema asiwe na moyo mgumu kama Farao

    Hayo mazoezi ya Mitaani labada kama ni kwenda kufukuza sungura Porini huwezi kumtishia mtu kamili kwa kukimbia kimbia siku mbili tatu watu wanabishana kwa hoja wewe unajiandaa kwa mitulinga...haya mazoezi yanweza watisha vilaza wachache na siyo watu wenye akili timamu
  13. K

    Zitto: Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni sahihi, unapaswa kuungwa mkono na wazalendo wote Tanzania

    Mtu hata kwa kutumia akili ya mtoto mdogo anaye tambaa hawezi kunionesha katika Ilani ya CCM hicho kinachofanyika sasa Ilani imejielekeza vizuri IKIONESHA NI GRADUAL PROCESS kuliko hiki kinachofanyika kwa fast track kimsingi wale wanao unga mkono uhamaji wa fast truck wanakwenda kinyume na...
  14. K

    Mkurugenzi mpya atia doa wateule wa JPM alihukumiwa kifungo mwaka jana.

    Huu ni Umakini katika nchi ya watu wasiyo makini na usiulinganishe na umakini kwa nchi iliyo na watu makini.Ndipo hapa taifa lilipofika.Kila jambo linafanywa kwa maigizo na kutafuta sifa tunasahau kuweka akiba ya maneno....
  15. K

    Serikali: Marufuku kutibiwa nje maradhi yanayotibika katika hospitali za nyumbani

    and without exaggerating the facts we are heading back to dictatorship ...zidumu fikira za Mtukufu Rais....iam afraid so
Back
Top Bottom