Recent content by kajiti

  1. kajiti

    Nafasi ya kazi kwa mwalimu wa Physics na Biology

    Kilimanjaro, kama una vigezo wasiliana nao.
  2. kajiti

    Nafasi ya kazi kwa mwalimu wa Physics na Biology

    Anahitajika mwalimu wa masomo ya Physics na Biology. Sifa: Diploma/Degree ya ualimu. Umri kuanzia miaka 30 hadi 50. Mawasiliano: 0655984453
  3. kajiti

    Keyboard ya laptop hp 550 inahitajika

    ndio yenyewe. unapatikana wapi?
  4. kajiti

    Keyboard ya laptop hp 550 inahitajika

    Nahitaji keyboard ya laptop hiyo. Nipo Moshi. kama unayo au unafahamu wapi nitapata kwa arusha au Moshi, nifahamishe bei na ulipo.
  5. kajiti

    MSAADA: satellite meter finder na compass.

    asante Chief-Mkwawa. Natumia yxtel
  6. kajiti

    MSAADA: satellite meter finder na compass.

    unaweza kunieleza kiundani zaidi?
  7. kajiti

    MSAADA: satellite meter finder na compass.

    unaweza kunieleza kiundani zaidi?
  8. kajiti

    MSAADA: satellite meter finder na compass.

    Asante! Nitakutafuta.
  9. kajiti

    MSAADA: satellite meter finder na compass.

    wapi naweza kupata vifaa hivi kwa Arusha au Moshi? kama unajua na bei nijuze tafadhali?
  10. kajiti

    Delivering 5MB hard drive in 1956

    nimeipenda hii! Asante kwa kuniongezea maarifa!
  11. kajiti

    Msaada: Canon IR2018

    Hii canon IR2018 photocopy/printer/sccaner ni mpya ila ushamba kazi! Nimenunua na cartridge ambayo kwenye manual ina jina la "drum unit" ila baada ya kusoma vizuri manual na kuangalia machine "toner cartridge" haipo. je hii inaweza kuwa sababu machine kushindwa kutoa copy? kuna tofauti gani kati...
  12. kajiti

    hp pavillion dv6500 and resolution problems

    laptop hii ina win 7 na imepoteza resolution na rangi hazionekani vizuri. driver nimecheki zipo. msaada wakuu!
  13. kajiti

    Tatizo litakuwa ni nini?

    asante kwa ushauri!
  14. kajiti

    Tatizo litakuwa ni nini?

    asante kwa maelezo!
  15. kajiti

    Tatizo litakuwa ni nini?

    nashukuru na napokea ushauri. ...kuna namna ambayo inaweza tumika kusitisha dozi ambayo tayari inaleta side effect au ni mpaka miezi 3 iishe?
Back
Top Bottom