Recent content by Kajisambe

  1. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, tueleze mitihani ya kila wiki kwa kuwalipisha wazazi mchango wa Tsh. 1,500 kila Ijumaa , ndiyo sera uliyoiruhusu?

    Kwa hiyo mtoto wako kulazimishwa kusoma na mwalimu tena anageuka kuwa MPUMBAVU! Basi haina haja kumpeleka shule maana huko kote kuna Walimu ambao ni wapumbavu, kwa hiyo mtoto wako atakuwa mpumbavu zaidi ya wazazi wake kwa sababu nao wamefundishwa na wapumbavu hao hao kabla hawajamzaa mtoto...
  2. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Naona muda si mrefu naweza kufanya mambo ya Agano la Kale

    Imeandikwa, "Mtu hatoishi kwa kula mkate tu"
  3. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Nilivyotongozwa na msichana Baa

    We amekuhadithia nan stori hii??
  4. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nakushauri achana na Maisha au jinyonge tu ujinga ukae pembeni
  5. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Hujasema kama walishaachana
  6. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Hivi wewe hiyo tabia ya kutia mimba wake za watu hujaiacha tu?
  7. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

    Sasa kwanini umtongoze tena mchumba wako, unategemea nini? Toa pesa za kutosha za matumizi halafu mtongoze tena, utakuja kunishukuru
  8. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Nimenasa kwa mchina

    Njoo nikufundishe Kukaretika' then unampiga chini
  9. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mrembo anaejua thamani ya mwanamme aliye tayari kuolewa na mimi

    Utakutana na wakina SHUMILETA, mtaani kwao ameshashindikana
  10. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Ameeen...!!
  11. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Afadhali umeyaona mwenyewe, Umevuliwa bila kuwa na target. Wanaume wanapenda kwa 1% na 99% wanawake kuwapenda wanaume. (UMEONGEA KWELI) ila wengine tunakimbia kuhudumia. :-(
  12. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Nimekuta akaunti yangu ina nyongeza ya kufuru la fedha

    Mmhh! kumbe freemason bado wapo!!
  13. Kajisambe

    JamiiForums Tanzania Nimekuta akaunti yangu ina nyongeza ya kufuru la fedha

    Sawa kabisa. Kila jambo lina sababu yake
Back
Top Bottom