Unadhania Uganda wao ndiyo hawana siasa jeshini? endelea kujindanganya jambo usilolijua bora ukae kimya tu! hata hivyo vita siyo sifa ni uharibifu na kutafuta umaskini tu! vita ya kagera mpaka leo madhara yake yanatutafuna wengine tulipoteza Baba zetu! Wamejiimarisha kwa kitu gani? unamiini...
Jamani mjibuni msimtukane sababu ya umri wake! wengine hata huo umri hamtafika na uzee ni heshima! mbona tunakosa adabu namna hiyo! inasikitisha sana, wewe hauna Baba au Babu nae unamuona kazee ka hovyo? Ni bahati mbaya sana kuna ukosefu wa adabu wa hali ya juu! Apingwe kwa hoja siyo matusi...
Kweli ni mdomo maana hana Dola! kwahiyo wananchi tunamuunga mkono kwa mdomo wake maana anatuambia ukweli! wengine watatumia dola siyo mdogo uko sahihi kabisa
CHADEMA sasa ndiyo kimekuwa chama kweli cha Upinzani kelele hizi za wana CCM zitapigwa sana, CHADEMA imekua imara zaidi sasa! LISSU na viongoizi wao tunawaelewa sasa vizuri!
Muda wa Mungu wenu mnaemwabudu sana unafikia mwisho! katapigwa tu! ka nchi kenyewe maskini kanategemea wizi Congo ili ku survive. Ukizunguka hako ka nchi ndiyo utajua kumbe kelele nyingi kumbe si lolote wanajua propaganda za mitandaoni! Nchi yenu maskini sana acheni ujinga manaharibu future yenu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.