sioni sababu yoyote ya kujipendekeza kwa yeyote mkuu, beside i have nothing to lose anyway..so kuhusu kubishana na nani au yupi sidahni kama kunanafasi yote hapa..nilichosema ndo ninachoamini baada ya kuona kwa macho yangu, sishangai hata hayo yanayowatokea kina kibanda kwa mwendo huu wa vitisho...
tazama sasa unavyojichanganya mkuu, sasa kama RAIS ndo anachagua majaji sasa hao kina Lema wanashindaje kesi? hiyo unayosema mizengwe mbona jimbo la zitto, Ndesamburo, Mdee, Mbowe na sugu hayakuwa na mizengwe? acha unafiki ndugu yangu kuwa mkweli tu..
ha ha ha, kama kawaida ya wasomi wetu wa CDM, ujanja mwingi kumbe mbele giza..kama unaakili timamu bila shaka utakua bado unatafakari kwa kina nilichosema, lakini kama unakichwa cha panzi ambacho hakijuia hata chenyewe ni kiumbe hao au mfu basi kamwe hautaelewa..
ujinga ni kuamini eti kuingolea chadema ni kupata umaarufu, jibu hoja za msingi...umelalia pabaya sana ndugu yangu, kamwe si mfuasi wa ccm lakini angalau natambua machache mazuri wanayofanya, nchi tu kuwa stable kwa kipindi chote hichi kirefu ni credit tosha kwa chama tawala..ukweli ambao kwa...
kamwe kijana mwenye akili hatosihi kwa ndoto za kufikirika, badala kuhimiza watu wafanye kazi wao wanaishia kuwatengenezea mazingira ya vijana kuwa kizazi cha malalamiko, timiza majukumu yako nchi iende mbele, wengi wa nyinyi mnaojifanya kuisapoti chadema hata kuondoa taka iliyokaa barabarani...
angalau wewe umejaribu kuwa mkweli kuwa pamoja na yote hayo mabaya na mazuri ni chuki tu inayokufanya uichukie ccm, bahati mbaya wenzio hawataki kuweka wazi, wacha na ccm nao watuilinde sisi wananchi dhidi ya hizo chuki zenu, kuichukia ccm iliyoko madarakani ni kuwachukia watanzania walioiweka...
kwa ulichojibu bado unadhirisha umazwazwa wenu, nilitegemea ungejibu hoja kwa hoja, hivi hiyo rwanda unayoisema wewe umeiona? au unasikiliza maneno ya kijiweni ndugu yangu? unahitaji sana kusoma reports mbalimbali na pia uwezo wako wa kulinganisha vitu bado mdgo sana, kamwe robo haiwezi kuwa...
na hapo ndipo unapodhihiri kuwa wengi ni watu wa namna gani, mmefikia hata hatua ya kudanganya vichwa vyenu, sishangai kusoma hicho ulichoandika hapo juu..
1. Serekali ya CCM haijafanya hata jema moja machoni mwao tangu uhuru
2. Mahakama hutenda haki endapo tu upande unaoungwa mkono na Chadema utashinda, vinginevyo husema mfumo wa mahakama Tanzania ni wakidhalimu niletegemea wangesema ni wakidhalimu hata waliposhinda kesi zao badala yake husema...
script nzuri mwandishi, ila nahisi kama kuna sehemu unajichanganya, sielewi unaposema kuwa ulichaguliwa kwenda shule ya Ilboru na ukaamua kutokwenda mi naamini uliamua kutokwenda kwa kuwa ulipenda mfumo wa elimu wa kibepari, ndio mana ukachagua kwenda hiyo saint sijui nin mwenyewe umeitaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.