Naomba kupata jibu kwa changamoto hii.
Nguo inauzwa Sh. 10,000/= na wewe huna pesa ya kununulia nguo hiyo. Ukaamua kukopa pesa kutoka kwa dada yako Sh. 5,000/= na kutoka kwa kaka yako Sh. 5,000/=. Hivyo jumla umekopa Sh. 10,000/=. Ukaenda ukapatana na kuuziwa nguo kwa Sh. 9,700/= na ukarudishiwa...