Recent content by kaimasu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Ajira zinatoka lini!???

    Tugawie mtaji huo na mashamba tukalime
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo kwanini unadanganya watanzania kuhusu ajira za Walimu?

    Unaweza ukalima bila pesa, huna shamba, huna pesa ya kukodi shamba, hahaa akalime geto eti ee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma sayansi na hisabati tukutane hapa twende kwa waziri Jaffo kuomba kufundisha sekondari

    Hata mimi hili najiuliza, ni uongo wa aje, mie mwenyewe ni mwalim wa science, nmesoma ualimu miaka mitatu, nipo mtaani tu na vyeti vyangu, hawatufikirii wala, maajabu ya tanzania
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Tabia za wapishi Sekondari za Bweni

    Hahahaa isaya mbembela
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Tabia za wapishi Sekondari za Bweni

    Hahaaahahaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ntibenda atenguliwa

    Wakati wengine wakizidi kusitishiwa ajira, wengine wanapata ajira, this world is not fair
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mh. Rais kusitisha ajira kwa muda na utekelezaji wake

    Unaweza ukazimia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mh. Rais kusitisha ajira kwa muda na utekelezaji wake

    Leo Ni july 30, hilo zoezi nmeskia limeshaisha, lakini bado kimya tuu, hatujui wanampango gan na sisi, yakikukuta yanauma
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    Uliogelea!, hahaa uongo huu, hata maji yake yanakatazwa kuguswa, kwanza kingo zale huteleza, ndio maana hushauri kuliangalia kwa mbali na sio kulisogelea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanafunzi 7,805 waliofukuzwa UDOM, ni 382 tu ndio wenye sifa

    NiNi Zion sio Zayoni
  11. K

    JamiiForums Tanzania President John P. Magufuli's next 1,600days: From Bulldozer to Mastercraftsman?

    Seriously hadi ujipange, maana...(riwaya)
  12. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Walioanza kulalamika hakuna pesa mifukoni ni wale waliozoea kupata pesa za burebure

    ni kweli kabisa, maisha yamepanda gharama za bidhaa zmekua tifaut, pesa unaipata lakin unatumia hata haitoshelez
Back
Top Bottom