Hii ni aina ya sukari iliyosafishwa sana,ambapo huwa na madhara inapotumika kwa kiwango kikubwa.
Sukari inaposafishwa,madini&vitamini huondolewa,na kubakiza kalori tupu tu. Lakn mwili hauwezi kutumia kama ilivyo,inahitajk vitamini ili ifae kutumika mwilini. Kwahiyo mwili unachukua vitamini hivyo...