Recent content by kahwa29

  1. K

    Utatuzi wa hali ya usalama wa Taifa kwa ujumla

    Kama tunaweza kuona kwamba hali ya usalama wa Taifa letu, kama tunatamani kuwa na jamii iliyostaarabika kwa vizazi vijavyo; tunatakiwa kuweka nguvu katika kupata KATIBA ITOKANAYO NA WATU, INAYOLENGA WATU..Hii itakuwa ni nyenzo itakayowezesha sote kuishi kwa stara pamoja na itaongeza hali ya...
  2. K

    Tetesi: Hatar ya muswada wa mafao

    Bill hiyo inaenda kuua wastaafu. 1. Mafao utalipwa 38% na 62% utakuwa unalipwa monthly. Mfano kama ilikuwa ulipwe milioni 100 maana yake kwa mswada mpya utalipwa pension ya mkupuo 38 milioni halafu milioni 62 ulipwa kila mwezi. Ubaya wa hili siku ukifa malipo kila mwezi hukoma. Hivyo hela nyingi...
  3. K

    Ushauri kwa serikali kuhusu bajeti ya mwaka huu

    Katika bajeti ya mwaka huu fungu (vote) lililotengewa fedha nyingi kuliko yote ni malipo/marejesho ya deni la Taifa.. Takriban shilingi trilioni 9..... zaidi hata ya mishahara na marupurupu ya watumishi ..takriban trilioni 8.... Haya mafungu mawili ambayo hayaepukiki (ring-fenced) yatatumia...
  4. K

    Zama za sasa na za zamani katika mapambano ya ugonjwa wa Malaria ni tofauti

    Zamani tulifundishwa kufyeka vichaka, kufukia madimbwi ya maji yaliyotuama na kusafisha vizuri mazingira yazungukayo nyumba Ili kudhibiti mazalia ya mbu waenezao malaria. Leo jioni ukirudi nyumbani muulize mwanao amefundishwa nini ili asiugue malaria. Bila shaka atakujibu kuwa ameambiwa alale...
  5. K

    Road licence wizi mtupu

    Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku..... Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license... Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka... Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road...
  6. K

    Deni la taifa

    LEO KATIKA UCHUMI Deni la taifa ni nini? (National Debt) Deni la taifa ni pesa taslimu au rasilimali iliyokopwa na serikali kutoka kwa mashirika ,makampuni mabenki, taasisi au watu binafsi ndani ama nje ya nchi ili kuziba nakisi ya bajeti yake Karina kutekeleza miradi ya maendeleo na matumizi...
  7. K

    Tumbua tumbua ya mkulu isokua na tija

    Uhaini (uhujumu uchumi, rushwa kubwa, ukwepaji kodi nk) ni kansa zilizozagaa na kushambulia viungo vingi vya mama Tanzani... Kuita kansa jipu hakuelezi kindandaki hali halisi na madhila na mauaji kwa Watanzania wengi maskini...Kansa sio jipu...kansa/saratani ni ukuaji wa mwili/seli bila ridhaa...
  8. K

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    KIBURI! KIBURI! kuna tofauti kubwa kati ya kiburi na kujiamini.Mwenye kujiamini hata akikosewa na umma ama kikundi fulani husimama hadharani na kuonesha msimamo wake kwa staha huku akichagua maneno kwa hekima ya juu kuwasilisha msimamo wake. Unajua ni kwa nini? Sababu ni kuwa katika hustoria...
  9. K

    RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    KIBURI! KIBURI! kuna tofauti kubwa kati ya kiburi na kujiamini.Mwenye kujiamini hata akikosewa na umma ama kikundi fulani husimama hadharani na kuonesha msimamo wake kwa staha huku akichagua maneno kwa hekima ya juu kuwasilisha msimamo wake. Unajua ni kwa nini? Sababu ni kuwa katika hustoria...
  10. K

    Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Hivi ktk uuzaji wa IPTL nakumbuka kama Serikali ilidai Bungeni 'kupewa' kinga (immunity) dhidi ya madai/fidia nk toka kwa PAP.... #TegetaEscrowScam ...is here to stay...until and when we get our upper faculties back....nimewaza tu leo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom